Michelle Hilton
Senior Member
- Jun 26, 2011
- 141
- 15
utovu wa nidhamu
Sheria haina wadhifu,kama democratic state lazima tufuate utawala wa sheria.Kama wamevunja taratibu za bunge ni vyema waadhibiwe kwa mujibu wa taratibu za bunge.Je kuna ukiukaji wa taratibu ktk utoaji wa adhabu hiyo?Kutafuta umarufu kupitia bunge.Napendekeza wasimamishwe kuhudhuria vikao vya bunge kwa kipindi chote kilichobaki,ili wakilirudi wawe na nidhamu ya kujadili hoja kwa ajili ya maendeleo ya nchi na sio kufanya fujo na kufoji sahihi ya Mhe.Waziri Mkuu.Big up to you Mr.Ndugai.
Ndugai anaongozwa na ushabiki
Wametolewa nje na Naibu speaker kwa kosa la kuongea/Kuwasha MIC bila ruhusa ya Naibu Speaker
Kuna haki hapo?

Wewe na wanamagamba wenzako ndio wahuni!

Lukuvi aliomba muongozo kwa Naibu Spika baada ya Mh Lema kumaliza kusoma hotuba ya kambi rasmi ua upinzani. Lukuvi akaanza kuhutubia Bunge yaani Waziri anaanza kuhutubia Bunge Naibu Spika anakaa kimya kwa sababu ni mwanamagamba mwenzake.WTF?
Wabunge wa ngapi wa CCM wameomba mwongozo huku wamewasha mic zao na kutolewa nje ya Bunge? Kama jibu ni hapana wakati huwa wanafanya hivyo kila mara, then huo ni upendeleo ni uonevu wa wazi. CCM watatoa hesabu mwaka 2015
Ni kweli kabisa mh.Lukuvi alitumia muda mrefu kutoa mwongozo ikawa kama anahutubia,pia naibu spika akawa anaendelea kumsikiliza kitu ambacho kwa upande wa wapinzani huwakataza(alipendelea),lakini hii ilisababishwa na maandishi yaliyosomwa na waziri kivuli mh.ema ndani ya hotuba yake ambayo iliishambulia vikali serikali na jeshi la polisi.Tundu lisu na mh.Msigwa baada ya kuona upendeleo huo ingawa Ndugai anasisitiza kuwa yule ni waziri wa nchi ndio maana aliachia muda mrefu,wao waliwasha maiki na kuropoka kitendo kilichofanya wabunge wengine wa chadema kupaza sauti.

Mimi sio mwana C_M lakini kwa hili naona kama CDM wanawakosea sana wana C_M, yani wao kila kitu ni kupinga tu.