The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Word..This session is proving to be like no other.
Word..This session is proving to be like no other.
wajukuu zangu hali zenu,
kwanza niwakumbushe kitu kimoja, .....HAKI BILA YA WAJIBU, FUJO.....................
ni kweli nakubaliana nanyi wana jamii wenzangu juu ya maono yenu kwamba uenda wabunge waliotolewa wameonewa kwa namna moja au nyengine lakini hivi ni kweli, katika maeneo yenye utawala wa kisheria ambao nyine wenyewe ni wafuasi wa hayo mnaweza fanya hivi.
labda kama mnataka kutuambia kuwa hata yale mlioamua kuhusu sakata la arusha ni kiini macho tu. kamati kuu iliyokaa wiki iliyopita kwa pamoja iliamua kuwafukuza madiwani wote wa arusha kama hawatoomba msamaha kwa kukikosea chama chao ndani ya siku tatu. katika mshangao wangu, walimuelekeza katibu mkuu wa chama hicho kuwaomba wao msamaha na huku wakisema kuwa hawako tayari kutoka katika chama...............................nini tunajifunza.......HAKI BILA YA WAJIBU, FUJO.
kwa upande mwengine, maneno haya mazuri na muhimu yanatupeleka katika kuona kwamba waheshimiwa wetu bungeni wako juu ya sheria.unaweza usiamini haya lakini kutoka kwenye maneno yenu najifunza kuwa hata wakati mwenyekiti freeman anaongea uenda mtu anaweza simama na kumpinga wazi uku akisema mambo yake.mie sishangai ila ninachostahajabu ni kwamba iweje freeman aheshimiwa katika vikao cya chama halafu mnasahau kwamba speaker wa bunge naye ni kiongozi wa mijadala vikaoni kama alivyo freeman.............nini najifunza.......WAJIBU UNA MIPAKA.............UPENDELEO MAALUM KWA MABWANA.
Vijana wenzangu. tuwe wenye kuelewa na sio kupiga porojo kwani haziwezi tusaidia.
TAFAKARI...........................................HAKI,ELIMU, .............................................WAJIBU.
jana wenje!
Leo lisu,lema na msigwa!
Kesho mdee na rigia mtema.

YOU'LL NEVER WALK ALONE WAPIGANAJI

wachane mpaka waone sooooooooooooooooooooooo........... aluta kontinuaaaaaaaaaaaaaaaa .yeayeayeaaaaaaaaaah kiurahisi tu stay tune for volume II... HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Labda naomba mwongozo hapo. Hivi ukitolewa bungeni je wanarudi tena au wanarudi kwenye next session.
Next session watakuwepo...Labda naomba mwongozo hapo. Hivi ukitolewa bungeni je wanarudi tena au wanarudi kwenye next session.

ndio tabu ya kuchagua wahuni nakuwapeleka bungeni wanazani pale ni kilabu cha pombe kila mtu anaropoka bila utaratibu.