Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

Naomba speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge na pia upande wa serikali muendelee hivyohivyo ili wananchi wajue kuwa wanaongozwa na vilaza wafanye maamuzi sahihi kuing'oa serikali kwa maandamano ya kufamtu naomba hiyo siku iwe kesho.

Sawa kabisa mkuu. Waache wajichimbie kaburi.

Huu ni utoto waliofanya hawa wabunge hakuna haja ya kuwatetea ufafanuzi wa maneno mawili sijawahi kuusikia hata siku moja lazima uzungumze ueleweke sasa jazba za kuwasha mic uzungumze na spika azungumze tena unaongea kwa jazba nani atakubaliana nawe waliyopata ni haki yao tena inawashusha hadhi kabisa,bungeni siyo kariakoo.

Huu ni utoto waliofanya hawa wabunge hakuna haja ya kuwatetea ufafanuzi wa maneno mawili sijawahi kuusikia hata siku moja lazima uzungumze ueleweke sasa jazba za kuwasha mic uzungumze na spika azungumze tena unaongea kwa jazba nani atakubaliana nawe waliyopata ni haki yao tena inawashusha hadhi kabisa,bungeni siyo kariakoo.

Kwa sasa, naibu spika, wenyeviti na spika wa bunge, kwa lolote wanalolifanya katika kutaka kuwaadhibu wabunge wa CHADEMA ni kuzidi kuiangamiza CCM mbele ya wananchi.

Wabunge wa CHADEMA na NCCR, kwa kauli na matendo yao wameweza kujipambanua na kujitofautisha na wabunge wa CCM kwa kuonekana kwa wananchi kuwa wao ni watetezi wa wananchi, na CCM ni watetezi wa dola fisadi na gandamizi ya haki za wananchi. Chochote wafanyacho ni kuongeza chuki kwa wananchi walio wengi.

CCM isipowaonya Spika na Naibu Spika, hakika wanazidi kuiua CCM mbele ya wananchi - zunguka kila mahali, na sikiliza wananchi wanavyoongea ili ujue hisia zao juu ya wabunge wa CHADEMA na NCCR kuhusiana na ushiriki wao bungeni. Karibu kila mahali, (leo nipo Ngara), karibu kila mwananchi iwe kwenye hoteli au baa, wanataka kusikia wabunge gani wa CHADEMA na NCCR wameongea, na wameongea nini - hakuna anayetaka kujua alichoongea mbunge wa CCM.

Ndugai na wenzake wajipe muda, waangalie bunge la Kenya au la Westminster . Mijadala inakuwa ya moto lakini ni nadra sana kutolewa mtu nje na hii ni kwasababu ya uelewa mpana na uwezo wa Spika/Naibu spika wa mwenyekiti wa kikoa kuongoza mijadala. Wanajuwa namna ya kurudisha amani kila mtafaruku unapotekea bila ya kujenga 'nidhamu ya woga' ndani ya bunge.

Hivi hajui kama kuna rushwa polisi, mahakama? Wabunge wa ccm tuko nao huku mtaani na kila leo wanalalamika rushwa mahakamani, na polisi leo iwaje waseme Lema ni amekosea pale aliposema kuna rushwa mahakamani? Ni kanuni gani hiyo inayosema mbunge akae kimya hata pale makosa yanapokuwa wazi kwa kisingizio cha 'uwajibikaji' (Mama Anna Abdalla kasema uwajibikaji).

Bunge linaisha week chache zijazo, CHADEMA washeni moto nchi zima kuhusu hawa ukiukwaji wa haki za binadamu.

Ndugu yangu kuna tofauti kubwa kati ya kutoa hoja moto na kinzani kwa upande mmoja na kutoa hoja bila kuzingatia nodhamu na tariatibu mlizojiwekea wenyewe. Bunge ki msingi, jukumu lake kiini ni kutunga sheria. Kwa hali hiyo Bunge linakuwa na maana na hadhi mbele ya wananchi kama sheria zinaaminiwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Ni ajabu sana inapotokea chombo cha kutunga sheria kikawa cha kwanza kudharau na kukejeri sheria lilitunga lenyewe.

Nimekuwa nikifuatilia sana Bunge letu la Tanzania kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa mabunge ya nchi nyingine ikiwemo Kenya. Naungama kabisa kwamba bunge la Kenya ni moto kuliko letu kwa kiwangi kikubwa sana. Toafauti kubwa kati ya Kenya nasisi ni nidhamu na maadili. Wabunge wetu unaweza kuona kabisa hana hoja moto sana bali anatawaliwa na jazba na ushabiki wa kisiasa.

Ushabiki huo unamfanya asimheshimu spika au mwenyekiti wa kamati ya Bunge kwakuwa anatoka chama tofauti na chake. Nikitoa mfano wa hivi karibuni wa mheshimiwa mbunge wa Nyamagana. Mheshimiwa naibu spika ametoa amri kwamba kutokana na mazingira yaliyopo asiendelee kuongea.

Yeye analazimisha kuendelea kuongea. Kwa hali kama hiyo ni mambo mawili tu yangeweza kufanyika. Mosi, mwenyekiti au spika wa bunge kujihudhuru kwamba ameshindwa kuongoza kikao cha bunge kiasi cha kumfanya mbunge aongee kwa kukaidi amri yake mara kadhaa. Pilli, ni kama alivyofanya. Kuna mifano mingi ya wabunge kutumia lugha ya kejeri na kukinai bila kuheshimu taratibu zilizopo wakati hoja hiyo hiyo ingeweza kuongelewa na kupokelewa vizuri kwa kutumia lugha yenye heshima. T

umeona kwa mfano katika Bunge lililopita. Wabunge kama DR SLAA, KILANGO, MWAKYEMBE, HAMADI na wengine wengi bila kijali vyama vyao walitoa hoja nyingi moto moto lakini hawakutumia lugha kama zinazotumika leo wala hawakukaidi amri ya spika au mwenyekiti. Hata Bunge la mwaka huu kuna wabunge wengine wengi wamechangia mambo moto na kinzani kwa serikali kwa lugha na utaratibu unaokubalika na hamna aliyetolewa nje wala kukatishwa kabla ya mda.

Mfano mzuri ni wa Mh Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Aliongea hoja nzito na kinzani kwa serikali kwa lugha ya kibunge na hamna aliyemkatiza badala ya kumshangilia.

Ningeshauri wabunge hasa vijana tupunguze sifa na ushabiki wa kisiasa na tuweke maadili na uzalendo mbele. Tusifanye vikao vya bunge kama majukwaa ya kampeni za uchaguzi.

Ndugu yangu kuna tofauti kubwa kati ya kutoa hoja moto na kinzani kwa upande mmoja na kutoa hoja bila kuzingatia nodhamu na tariatibu mlizojiwekea wenyewe. Bunge ki msingi, jukumu lake kiini ni kutunga sheria. Kwa hali hiyo Bunge linakuwa na maana na hadhi mbele ya wananchi kama sheria zinaaminiwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Ni ajabu sana inapotokea chombo cha kutunga sheria kikawa cha kwanza kudharau na kukejeri sheria lilitunga lenyewe. Nimekuwa nikifuatilia sana Bunge letu la Tanzania kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa mabunge ya nchi nyingine ikiwemo Kenya. Naungama kabisa kwamba bunge la Kenya ni moto kuliko letu kwa kiwangi kikubwa sana. Toafauti kubwa kati ya Kenya nasisi ni nidhamu na maadili. Wabunge wetu unaweza kuona kabisa hana hoja moto sana bali anatawaliwa na jazba na ushabiki wa kisiasa. Ushabiki huo unamfanya asimheshimu spika au mwenyekiti wa kamati ya Bunge kwakuwa anatoka chama tofauti na chake. Nikitoa mfano wa hivi karibuni wa mheshimiwa mbunge wa Nyamagana. Mheshimiwa naibu spika ametoa amri kwamba kutokana na mazingira yaliyopo asiendelee kuongea. Yeye analazimisha kuendelea kuongea. Kwa hali kama hiyo ni mambo mawili tu yangeweza kufanyika. Mosi, mwenyekiti au spika wa bunge kujihudhuru kwamba ameshindwa kuongoza kikao cha bunge kiasi cha kumfanya mbunge aongee kwa kukaidi amri yake mara kadhaa. Pilli, ni kama alivyofanya. Kuna mifano mingi ya wabunge kutumia lugha ya kejeri na kukinai bila kuheshimu taratibu zilizopo wakati hoja hiyo hiyo ingeweza kuongelewa na kupokelewa vizuri kwa kutumia lugha yenye heshima. Tumeona kwa mfano katika Bunge lililopita. Wabunge kama DR SLAA, KILANGO, MWAKYEMBE, HAMADI na wengine wengi bila kijali vyama vyao walitoa hoja nyingi moto moto lakini hawakutumia lugha kama zinazotumika leo wala hawakukaidi amri ya spika au mwenyekiti. Hata Bunge la mwaka huu kuna wabunge wengine wengi wamechangia mambo moto na kinzani kwa serikali kwa lugha na utaratibu unaokubalika na hamna aliyetolewa nje wala kukatishwa kabla ya mda. Mfano mzuri ni wa Mh Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Aliongea hoja nzito na kinzani kwa serikali kwa lugha ya kibunge na hamna aliyemkatiza badala ya kumshangilia.

Ningeshauri wabunge hasa vijana tupunguze sifa na ushabiki wa kisiasa na tuweke maadili na uzalendo mbele. Tusifanye vikao vya bunge kama majukwaa ya kampeni za uchaguzi.
wewe ungefanyaje kama speaker anaonyesha upendeleo wa wazi?? yaani speaker/mwenyekit mwenyewe anaruhusu mtu kutoa hotuba baada ya kuomba mwongozo! ni kichekesho ambacho mtu mwenye busara hautakiwi ukiache kiendelee! mimi nadhani ni speaker/naibu speaker plus wenyeviti ndiyo wameleta hali hii! wangekuwa fair enough hali hii isingekuwepo! mambo ya ushabiki yapo sana kwa ccm inayotetea serikali badala ya kuisimamia ..au una maana ushabiki upi??

Ni kweli kanuni na sheria za bunge ni lazima zifuatwe, we can say dat tc true kuwa mbunge alikosea kuongea bla kupewa ruhusa bt huyo aliyekuwa anachambua kila kifungu alitegemea wa2 wacpanic kweli? Mb0na cku ambayo mbunge mmoja aliposema "fungeni mlango tupgane" hakutolewa nje?

Ina maana wabunge wenzie hawakumuona ama?.....ningependa kama bunge lingeendeshwa kistaarabu zaidi,naibu spika anaongea kwa jazba na wabunge nao vlevle,tutafika kwa styl hii?

Bunge limekuwa ni mahali pa mazozano,kukaripiana na jazba...watz cku hiz wanawatch bunge kama mchezo wa kuigiza.....kama sinema ya vituko mahakamani...hii ni vituko bungeni...wenzetu wanaoangalia bunge le2 huko nje wanatuonaje?.........

Inakuaje m'bunge atolewe njee ya ukumbi wa bunge pale anapotetea maslahi ya taifa,? Kweli ina maana gani ya kuwepo wabunge wa upinzani bungeni? Ni aibu tupu.

Mh. Lema, lisu na mchungaji wametolewa njee ya bunge kwa kusema tanzania haina amani bali ni nidhamu ya uoga? Nini kazi ya wabunge wa upinzani bungeni kama sio kuikosoa serekali..? Kwa stahili hii ni bora au nashauri wabunge wote wa upinzani waligomee bunge tuu kuliko kudhalilishwa hivi kwa mnaofuatlia bunge nadhani mmenielewa naomba kuwakilisha

mungu ibariki tanzania

Boss, kwani wabunge wa upinzani ndiyo wana haki ya kuvunja kanuni na taratibu zilizowekwa kuendesha Bunge?

tuache ushabiki wa vyama tunataka maendeleo lema, lisu. Mchungaji. Wametolewa nje! Vipi lukuvi? Anastahili adhabu

Hakika Ndugai kaonyesha kile ambacho CHADEMA wamekuwa wakipigania KUWA KITI CHA SPIKA KINATUMIKA KAMA KITI CHA KUPINGA HOJA ZA KIBUNGE KWA MGONGO WA ITIKADI.Job Ndugai ambae ni NAIBU SPIKA kadhihilisha kuwa yeye ni nani na ndani yake kuna ITIKADI GANI.

Kwa mwenendo huu CCM inazidisha na kuongeza UFA na UFA huo unakimaliza polepole.

hiili ni tatizo tuliangalie kwa jicho la tatu kwa sababu ni kweli naunga mkono kuwa ni kukiuka kwa sheria.lakini kwa jicho langu la tatu ni kwamba ccm ndiyo wanaongoza kwa kuwasha mic na kuongea bila taratibu, sasa ndungai na makinda wawe makini vinginevyo wana ccm wawe wamepewa semina kuwa asiwashe mic hata mmoja kama siyo hivyo nakesho na kesho kutwa wataropoka ccm imean watawasha mic bac ya ruhusa ya makinda wala ndungai sasa tunasubiri hukumu itakuaje.na ni matarajio yetu hukumu ifanane kama waliopewa lisu,lema,msigwa na wenje vinginevyo.

hiili ni tatizo tuliangalie kwa jicho la tatu kwa sababu ni kweli naunga mkono kuwa ni kukiuka kwa sheria.lakini kwa jicho langu la tatu ni kwamba ccm ndiyo wanaongoza kwa kuwasha mic na kuongea bila taratibu, sasa ndungai na makinda wawe makini vinginevyo wana ccm wawe wamepewa semina kuwa asiwashe mic hata mmoja kama siyo hivyo nakesho na kesho kutwa wataropoka ccm imean watawasha mic bac ya ruhusa ya makinda wala ndungai sasa tunasubiri hukumu itakuaje.na ni matarajio yetu hukumu ifanane kama waliopewa lisu,lema,msigwa na wenje vinginevyo.

Back
Top Bottom