Kawekwa pale kuua upinzani..
Na kusimamia maslahi ya mafisadi
Nje ya Bunge Lema akihojiwa na ITV Lema amekiri kwamba Waziri Mkuu alisema uongo na ataonyesha uongo huo tarehe 14 Feb. Wala hatuna sababu ya kupindishan maneno. Hapa Spika kama alifikiri anamsaidia PM kamkaanga mno kwa sababu sasa dunia nzima itajua jinsi ambavyo serikali imechakachua swala la Arusha. Ni nafasi nzuri mno ya CDM kuanika ukweli kuhusu kilichotokea Arusha na hapa ndipo Makinda atakapojuta. Ni rahisi kutabiri kitakachotokea: Spika atakaata ushahidi wa Lema usiwasilishwe Bungeni, lakini Lema atapata nafasi ya kumwaga ukweli wote kwa waandishi wa habari na umma. It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anne Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!

Anna Makinda ni mtu wa Lowassa sana tu. Hapa anatafuta kummaliza Mh Pinda kiaina kwani aliongopa sana.
Waziri Mkuu au msemaji yeyote wa nchi hawezi kusema "taarifa hii nimepewa," unapoongea unaiongelea Serikali, na kama taarifa ni za uongo, ni wewe ndio domo lako limetumika, wewe ndio mwongo, k
Kitila, kwa wapenda haki wote hata walioko CCM, wameumizwa na kilichotokea Arusha na mimi ni miongoni mwa walioumia zaidi baada ya kuuona ule uchakachuaji wa polisi, hivyo jana nili comment mahali, THIS IS THE GOLDEN OPPORTUNITY FOR CHADEMA TO TELL THE WORLD!.Nje ya Bunge Lema akihojiwa na ITV Lema amekiri kwamba Waziri Mkuu alisema uongo na ataonyesha uongo huo tarehe 14 Feb. Wala hatuna sababu ya kupindishan maneno. Hapa Spika kama alifikiri anamsaidia PM kamkaanga mno kwa sababu sasa dunia nzima itajua jinsi ambavyo serikali imechakachua swala la Arusha. Ni nafasi nzuri mno ya CDM kuanika ukweli kuhusu kilichotokea Arusha na hapa ndipo Makinda atakapojuta. Ni rahisi kutabiri kitakachotokea: Spika atakaata ushahidi wa Lema usiwasilishwe Bungeni, lakini Lema atapata nafasi ya kumwaga ukweli wote kwa waandishi wa habari na umma. It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anne Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!
Ni kweli sasa ni wakati wa kuudhihirishia umma kuwa kweli ni ipi na uongo ni upi? Mimi ninashosema the higher the risk the higher the return sasa CDM wakiprove PM alikuwa wrong return yake itakuwa ni njema kuliko maelezo hali kadhalika wakishindwa kuprove impact yake itakuwa ni kwamba hawa jamaa ni watu wa majungu tu. Naona tarehe 14.02.2011 haiko mbali ili kujua mustakabali wa jambo hili!It's the first terrible mistake that this lady has done to CCM, but a great service to the country. Mimi nampongeza sana Mhe Anna Makinda, mwanamke wa kwanza kuwa Spika wa Bunge letu tukufu pamoja na kwamba hakujua alichokuwa anakifanya katika sakata hili la Lema!
mgafilika, nakuomba usighafilike mpaka kumfananisha kiongozi wetu huyu wa taifa na hicho ulichofananisha. Hizi sio tuu ni lugha chafu, lugha za kihuni, bali pia ni maneno ya chooni! Kwa lugha kama hizi ndizo zinapelekea wenye hekima zao kuiona jf kama kijiwe cha watu wa lugha chafu za chooni, nawaombeni sana sana, pamoja na hasira zetu kwa madudu yanayofanyika bungeni, tuwe wastaarabu, heshima kitu cha bure!.Hivi mkuu wa serekali kama pinda anatofauti gani na mavi yangu ya asubui anapo potosha uma na bunge kwamba maneno ya viongozi wa chadema ya twendeni tukawakomboe viongozi wetu polisi kwanini hakuelezea ilikuwa je mpaka viongozi wa chadema wakasema hivyo?ile enzi ya mtu mzima akijamba huwezi kumwambi umejamba siyo hii siku hizi baba akijamba unamwambia kabisa baba umejamba tena ushuzi wako unanuka ile mbaya.
Kama Lema anatakiwa kuthibitisha uongo wa Pinda,kwanini Pinda hajathibitisha habari zake 'za kuambiwa'?
:clap2:Madhara ya falsafa ya Vodafasta, ambayo Watanzania tumechukulia kama ndio fasta suluhisho la matatizo yetu, inaelekea huyu spika ni vodafasta kabisa. You can never prove the negative, never ever.
Nadhani ina deficiency ya logic kichwani mwake.