Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?

Jamani hebu nipeni nini hasa tatizo la spika katika hilo la lema?.
Lema kaomba muongozo wa spika kuwa mbunge afanye nini iwapo mtu mkubwa kama PM anadaganya bunge na umma. muongozo aliopewa ni kuwa alete ushahidi wa kina wa maelezo kuthibitisha uongo wa PM
Mengineo yalikua ni maangalizo tu, kunalugha za kiungwana za kutumia.
Yawezekana spika ana mapungufu yake kama ailiyonayo mtu yoyote lakini kwa uendeshaji wa bunge hili bado hizo tuhuma zilizo jazwa ktk hii thread sijaziona zaidi ya inferiorty complex na ushabiki wa kisiasa, after all sitegemei hata sikumoja kama itatokea kumsifia spika kwa lolote.
Tulieni acheni jazba muda bado upo wa kutosha

Tofautisha:

1. Lema anafikiri PM kasema uwongo.
2. Spika anafikiri Lema amemtuhumu PM kuwa ni muongo!

Spika anataka kumuadhibu Lema kwa kumtuhumu PM

LAKINI:

Ni kweli PM kasema uwongo ?...Spika hana uhakikika kwani Lema alikuwa hajajieleza wala kuuleza Uwongo wenyewe.

Ni kweli Lema kasema uwongo? Spika hana ushahidi ... maana Lema alikuwa hajaJieleza...

Spika yuko sahihi kivipi?

Unajua ndugu huyo Spika Anna Makinda afai kabisa tunaona bora aondolewe tuu. Limekaa kama Dume Kike ambae amewekwa huko na Chama Tawala CCM. Dawa yake huko jikoni inachemuka. You know you cannot put a woman who has no responsibilities as a Speaker. Afterall she is not a mother she is a Lesbian who cannot rule. Aondolewe otherwise tutamfundisha adhabu.
Hii haijatulia, haya mengine (lesbian) hayahusiani na uspika wake!
 
Tofautisha:

1. Lema anafikiri PM kasema uwongo.
2. Spika anafikiri Lema amemtuhumu PM kuwa ni muongo!

Spika anataka kumuadhibu Lema kwa kumtuhumu PM

LAKINI:

Ni kweli PM kasema uwongo ?...Spika hana uhakikika kwani Lema alikuwa hajajieleza wala kuuleza Uwongo wenyewe.

Ni kweli Lema kasema uwongo? Spika hana ushahidi ... maana Lema alikuwa hajaJieleza...

Spika yuko sahihi kivipi?

Mkuu lema alisimama na kuomba muongozo wa spika akisema mbunge afanye nini iwapo mtu kama PM anadanganya umma na bunge.
Muongozo aliopewa ni kuwa alete ushahidi kuthibitisha hilo, pale ilikuwa ni kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa PM na si kipindi cha mtu kutoa maelezo kwanini PM anadanganya, na ndio maana lema aliomba muongozo na muongozo aliopewa ni kuwasilisha ushahidi, mind that kumuita mtu muongo bungeni unatakiwa kuthibitisha.
Tatizo ni nini?
 
Jamani hebu nipeni nini hasa tatizo la spika katika hilo la lema?.
Lema kaomba muongozo wa spika kuwa mbunge afanye nini iwapo mtu mkubwa kama PM anadaganya bunge na umma. muongozo aliopewa ni kuwa alete ushahidi wa kina wa maelezo kuthibitisha uongo wa PM
Mengineo yalikua ni maangalizo tu, kunalugha za kiungwana za kutumia.
Yawezekana spika ana mapungufu yake kama ailiyonayo mtu yoyote lakini kwa uendeshaji wa bunge hili bado hizo tuhuma zilizo jazwa ktk hii thread sijaziona zaidi ya inferiorty complex na ushabiki wa kisiasa, after all sitegemei hata sikumoja kama itatokea kumsifia spika kwa lolote.
Tulieni acheni jazba muda bado upo wa kutosha
Paulss kwanza sijatoa tuhuma bali nimeuliza. Hizo nilizoweka ni facts sio fictions. Ila pia nakubaliana na wewe, hoja zangu ni subjective. Kama na wewe pia umeliangalia bunge tangu lilipoanza hiyo juzi na hujaona kama kuna tatizo, pia uko right kwa sababu ni mambo ya mtazamo. Hata hiyo inferiority complex ulioikubali kwa wengine ni weakness lakini coverup yake ambayo ni superiority complex pia ni tatizo na kwa wengine ni ushujaa ndio maana uliona jinsi spika alivyokuwa akishangiliwa. No big deal, ni mambo ya mtazamo tuu!.
 
Godbless ameuliza tu kistaarabu kwani aliomba apewwe mwongozo na siyo kufokewa wala kutishiwa. Ninavyomjua Lema ukijaribu kumtishia ndo unamwongezea stamina kwani angemjibu simple tu. Ni kama mtoto mtukutu anapomuuliza mama hivi jana usiku ulipokuwa chumbani na baba ulikuwa unalia nini. Ukimjibu kwa hasira umeharibu inatakiwa uwe na hekima hapo. Anna Makina amekosa hekima, Busara, uwezo na utashi wa kuongoza bunge. Bahati mbaya siyo yeye kwani ameacha fahamu zake kwenye vikao vya chama na hapo anaongozwa kwa remote. Asipoangalia bunge litamshinda mapema mno kwani anachofanya ni sawa na kuondosha gari kwa spidi 180 bila kujua anaweza asifike
 
Mkuu lema alisimama na kuomba muongozo wa spika akisema mbunge afanye nini iwapo mtu kama PM anadanganya umma na bunge.
Muongozo aliopewa ni kuwa alete ushahidi kuthibitisha hilo, pale ilikuwa ni kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa PM na si kipindi cha mtu kutoa maelezo kwanini PM anadanganya, na ndio maana lema aliomba muongozo na muongozo aliopewa ni kuwasilisha ushahidi, mind that kumuita mtu muongo bungeni unatakiwa kuthibitisha.
Tatizo ni nini?
Paulss kama uliangalia baada tuu ya Lema kuomba muongozo wa spika, kwanza spika alihamaki na kwa sauti ya ukali akamwambia aandike.
Baadae spika akamrudia Lema na makanuni na vitisho kuhusu maadhabu na kumalizia kumtaka atoe uthibitisho there and then, ndipo JJ.Myika akasimama, kwanza akamweleza spika hayo makanuni aliyoibuka nayo siyo, pili akatoa kanuni right na tatu akamuuliza spika kama pale mwanzo alishamwambia akaandike, hili la kutaka haya maelezo sasa limetoka wapi?. Ndipo spika akatoa siku 3. Hapo napo bado hujaona tatizo?.
 
Mkuu nauunga mkono uchambuzi wako na maneno yako ya busara 100%. Nina hisia kuwa wabunge wa CHADEMA inaabidi wawe makini sana katika bunge hili la sasa kwa vile hasa chama tawala kitakuwa na assignment ya kuwachokonoa CHADEMA ili wananchi wafikie uamuzi wa kujuta kuwachagua na kwamba walichagua wabunge ambao hawako makini na "hawajakua" kisiasa. Nadhani CHADEMA watakuwa wanaliona hilo. Kikao hiki kiwe cha kuwekana sawa lakini vijavyo wakue na spika wa-sympathize nae badala ya kumchukulia kama adui.

Hebu fafanua hiyo niliyo highlight. Kukua kisiasa ni nini hasa?. Kuwa makini nini hasa?. vinginevyo statement kama hizi hazina tofauti na porojo za kina Makamba na Tambwe.

Anna Makinda anataka kuliendesha bunge la 21st century katika misingi ya 19th century. Anavyofanya Anna kuliendesha bunge haina tofauti na anavyofanya JK kuiendesha nchi, yaani hawapo huru na nafasi zao ni kama vile wanafanya kwa ajili ya kumfurahisha aliyewaweka.

Tutarejie heshima ya bunge iliyojengwa Mh Samwel Sitta kushuka kwa kazi sana katika kipindi jiki cha huyu mama. Huyu mama anachotakiwa kufanya ni kusimamia sheria na kanuni za bunge na si kutumia nafasi yake kuongeza mgawanyiko ndani ya bunge ambao unakuwa reflected nje ya bunge. Ajiulize kitu kimoja, nini hasa kilifanya Zitto apate umaarufu?. Wananchi hawahitaji kuona mtu anaadhibiwa kwa kuwatetea kwa kuwa tu si wa kutoka CCM.

Huyu mama atasaidia sana wapinzani mwaka 2015 kwani wananchi wamechoshwa na usanii wa CCM. Aache kufanya kazi kwa misingi ya kuwa politically correct ndani ya chama bali aangalie masilahi ya nchi zaidi.
 
Mkuu lema alisimama na kuomba muongozo wa spika akisema mbunge afanye nini iwapo mtu kama PM anadanganya umma na bunge.
Muongozo aliopewa ni kuwa alete ushahidi kuthibitisha hilo, pale ilikuwa ni kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa PM na si kipindi cha mtu kutoa maelezo kwanini PM anadanganya, na ndio maana lema aliomba muongozo na muongozo aliopewa ni kuwasilisha ushahidi, mind that kumuita mtu muongo bungeni unatakiwa kuthibitisha.
Tatizo ni nini?
Paulss kama uliangalia baada tuu ya Lema kuomba muongozo wa spika, kwanza spika alihamaki na kwa sauti ya ukali akamwambia aandike.
Baadae spika akamrudia Lema na makanuni na vitisho kuhusu maadhabu na kumalizia kumtaka atoe uthibitisho there and then, ndipo JJ.Myika akasimama, kwanza akamweleza spika hayo makanuni aliyoibuka nayo siyo, pili akatoa kanuni right na tatu akamuuliza spika kama pale mwanzo alishamwambia akaandike, hili la kutaka haya maelezo sasa limetoka wapi?. Ndipo spika akatoa siku 3. Hapo napo bado hujaona tatizo?.
 
Mh Makinda hajiamini kabisa na matokeo yake anatumia nguvu nyingi kuwa on the defensive....tayari ameshaweka mtazamo kuwa wapinzani esp. CDM ni wahuni na wakorofi hivyo inabidi wadhibitiwe, hiyo ndio ajenda aliyo nayo peke yake!

Ndio maana hata juzi alishindwa kabisa kudhibiti order/nidhamu ndani ya bunge wakati wabunge wanarushiana vijembe na kuwazomea wabunge wa CDM wakati wanachangia mswada. Kwake yeye it was ok kwa wabunge wa CCM kuzomea, kukatisha wenzao kila mara wakati wanazungumza...

Kwa mwendo huu lazima bunge litamshinda hivi karibuni, miaka 5 mingi sana!!

Limesha mshinda mpayukaji huyo. CCM walipozomea hakuchukua hatua yeyote, tena alikuwa anaongoza mipasho, inatia aibu, kinyaa na kichefuchefu jamani
 
Mkuu pasco ninacho kiona mimi katika bunge hili ni kukamiana zaidi na kuonyeshana nani mjuvi zaidi ya mwenzake kati ya spika na cdm, kilichopo ni kuwa cdm wamepanga kumpelekesha spika kwa dhana ya kuwa si mtu makini na makinda analitambua hilo kwahiyo kinachotokea ndio hicho tunacho kiona kila mara ni miongozo ya spika toka cdm na spika naye anajaribu kufurukuta maana hawezi kaa akaruhusu hali hii ya yeye kuonekana bogas.
Soma hata comments za wadau wa cdm utagundua jinsigani wanavyotarajia lisu,mnyika,lema nk kumpelekesha spika.
 
Walewale kumbe na wewe unaongozwa kwa miongozo ya comments za watu LOL!
 
Paulss kama uliangalia baada tuu ya Lema kuomba muongozo wa spika, kwanza spika alihamaki na kwa sauti ya ukali akamwambia aandike.
Baadae spika akamrudia Lema na makanuni na vitisho kuhusu maadhabu na kumalizia kumtaka atoe uthibitisho there and then, ndipo JJ.Myika akasimama, kwanza akamweleza spika hayo makanuni aliyoibuka nayo siyo, pili akatoa kanuni right na tatu akamuuliza spika kama pale mwanzo alishamwambia akaandike, hili la kutaka haya maelezo sasa limetoka wapi?. Ndipo spika akatoa siku 3. Hapo napo bado hujaona tatizo?.

loh, kama hali ilikuwa hivyo, basi sasa ni dhahiri hawa vijana wa chadema wanawafundisha wakongwe wa ccm siasa! hapo mama makinda lazima ajifunze upya utulivu awapo mbele ya vijana hawa watamuadhiri mapema sana, na naona wameishaanza
 
Hili ndio tatizo ninaloliona, si wananchi wala wabunge tunachotaka kuona ni makinda akiadabishwa kwa kupelekwa puta na akina lissu,lema,mnyika,zitto nk, kilichopo sasa ni nani mjuaji zaidi zaidi miongozo ya kipuuzi yenye kukamiana na kukomoana ndio inayotazamwa na kupewa heading kubwa.
Mama makinda nakupa pongezi sana kwa msimamo wako, niwakati wako kudhihirishia umma kuwa ur strong than they think. daima kanuni za bunge ndizo mwongozo.
Najua ufisadi na uozo mwingi wa ccm unawatia watu upofu na kutoona kile unasimamia ni kwa mujibu wa kanuni za bunge na sera za chama chako sababu hii ndio politics.
Tambua unafanya kazi na watu wao wanachotaka ni kukuvuruga ili uvurunde wapate cha kusema na usitegemee kusikia mazuri yako toka kwao,daima tegemea madongo maana hii ndio siasa.
Ni wachache wanaoweza kujua ni busara gani umetumia kumpa muongozo lema wa kuwasilisha uongo wa PM, bahati mbaya tupo wepesi kusahau ila kama sikosei zito amewahi kuombwa athibitishe uongo bunge lilopita.
Go makinda go spika
 
Hizo hamaki changanya na ule uso wenye makunyanzi, na yale meno.. loh,
 
...PM kasema taarifa zile kapewa, yeye anasema PM kasema uwango. The right forum ya kutumia ili kulinda heshima ya Waziri Mkuu, alitakiwa aombe muongozo wa spika kwa kusema kwa vile Waziri Mkuu kapewa taarifa ambayo sio sahihi....
Wewe, Makinda, na Pinda wote sawa.

Waziri Mkuu au msemaji yeyote wa nchi hawezi kusema "taarifa hii nimepewa," unapoongea unaiongelea Serikali, na kama taarifa ni za uongo, ni wewe ndio domo lako limetumika, wewe ndio mwongo, kama huna hakika na kilichotokea wewe kama Waziri Mkuu kaa chini, funga bakuli!

Na wabongo nao tuko full of baloney. Mtu akisema "taarifa hii nimepewa" basi maana yake hawezi kuwa anasema uongo, na hatuwezi kumwambia unatudanganya ukweli unaujua, kisa, "kulinda heshima ya Waziri Mkuu." Bunch o crap.
 
jamana kwa mliokua mnafatalia bunge la jana, mh. Mbunge wa arusha mjini Godless Jonathan LEMA, aliomba mwongozo kuwa,endapo waziri mkuu atalidanganya bunge inakuaje?? au ni mbinu za kutaka kum'bambikizia kesi kuwa kamchafulia jina waziri mkuu??
 
Weka vizuri swali lako na unachohitaji toka kwetu!...hujatulia sana!

Kimsingi kama nakuelewa , ni kwamba pale Lema hana cha kujibu, maana hajasema kuwa wAZIRI MKUU-PINDA ni MWONGO!
Alikuwa anaomba maelekezo for FUTURE USE....BASI!
Sasa haieleweki anatakiwa atoe maelezo ya ushahidi gani!
 
jamana kwa mliokua mnafatalia bunge la jana, mh. Mbunge wa arusha mjini Godless Jonathan LEMA, aliomba mwongozo kuwa,endapo waziri mkuu atalidanganya bunge inakuaje?? au ni mbinu za kutaka kum'bambikizia kesi kuwa kamchafulia jina waziri mkuu??

Kwani Waziri Mkuu ni malaika?

Mbona vyeo vya duniani munataka kuvipa hadhi ya u-Mungu?
 
Back
Top Bottom