Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,837
- 59,508
huyo lizzy anaolewa na ex wa dadaake nekst month. askushtue sana.
Kloro ntakusuta kwa sherehe ujue!!!:angry:
huyo lizzy anaolewa na ex wa dadaake nekst month. askushtue sana.
Heheheh WiseLady hujiamini mamaa????
Kma utakubali mbele ya Kloro kwamba appl zetu zikifika pamoja naweza nikakushinda ntakuachia nisubirie bahati nyingine!!!:hug:
huyo lizzy anaolewa na ex wa dadaake nekst month. askushtue sana.
khaaaa! huu wimbo kaimba nani?Kloro ntakusuta kwa sherehe ujue!!!:angry:
ule mzigo unaosoma kwa bluetooth?nashangaa anaangaika nini!!au tumpe ule mzigo wa husn?
lizzy cyo kutojikujiamini ila nimempenda ghafla,,kuna mmoja husninyo ana kontakti zake tunaweza kukupatia,,,
khaaaa! huu wimbo kaimba nani?
inabidi uende shopping harold london? si unaelewa kwamba kloro ni faifu star? hehehe julie robert atasibitisha hii.Orait orait....ila kwa masharti kwamba kadi ya harusi ntapata ila ya mchango unapotezea!!!Alafu nataka nikae pembeni ya Kloro!!!
nashangaa anaangaika nini!!au tumpe ule mzigo wa husn?
unaniturn on kwenye sredi ya kutafta mchumba ujue.Kauimba biLizzy!
ule mzigo unaosoma kwa bluetooth?
inabidi uende shopping harold london? si unaelewa kwamba kloro ni faifu star? hehehe julie robert atasibitisha hii.
Orait orait....ila kwa masharti kwamba kadi ya harusi ntapata ila ya mchango unapotezea!!!Alafu nataka nikae pembeni ya Kloro!!!
Hehehe!Niambie nibonyeze wapi kukuzima!unaniturn on kwenye sredi ya kutafta mchumba ujue.
daah! Dogo janja wangu kashakuwa kipasel.
Hapo sawa!Hus naona anasema ameshabeba mzima mzima!Mi nilie tu!ustie shaka mydear mchango utatoa hata wa mawazo,,cheki na husninyo basi kaja kukuskiliza,kijana utampenda mweyewe
ustie shaka mydear mchango utatoa hata wa mawazo,,cheki na husninyo basi kaja kukuskiliza,kijana utampenda mweyewe
kabidhi huyo handy lizzy vinginevyo tusichoshane tena
Hapo sawa!Hus naona anasema ameshabeba mzima mzima!Mi nilie tu!
Hapo sawa!Hus naona anasema ameshabeba mzima mzima!Mi nilie tu!