Broken heart

yaani longo longo tupu!
mkuu ngoma inaonekana kuwa ngumu! kama namna gani vipi badilisha ID uje kivyengine. hawa kina lizzy, shosti, husninyo, michelle,wiselady, nakazalika nakazalika wengi wao wanamind kijana akuwe sharobaro. sasa ingia na zile gia za meen! adhawaizi acha niendelee kukupigia debe huku PM.
 
kweli wewe ni broken H, mie ninavigezo vyoote ila nijue tuu umebrokiwa heart mara ngapi?
 
mkuu ngoma inaonekana kuwa ngumu! kama namna gani vipi badilisha ID uje kivyengine. hawa kina lizzy, shosti, husninyo, michelle,wiselady, nakazalika nakazalika wengi wao wanamind kijana akuwe sharobaro. sasa ingia na zile gia za meen! adhawaizi acha niendelee kukupigia debe huku PM.

kloro.mia.
 
nimeona juhudi zako japo hawa raia wameamua kuweka mgomo.
 
achana na huyu lawyer wako mi bado nawania taji nipe mwongozo,,,:nod::nod:

lawyer wangu kajitahidi sana kuelewesha hawa wazee wa mahakama ila naona jitihada za zaidi zahitajika.mwongozo upo kwenye thread yangu na wajieleza vyema kabisa.
 
kwa kua umeamua kuweka kigezo cha elimu usee una G.PA ya ngapi na faculty yako! Pia tupe muhtasari wa mahusiano ya awali,status yako kimaisha,falsafa yako ya ndoa as well...perhaps baada ya hapo ukiweka mode ya application maombi yataanza kumiminika bila kikomo!
 
nimesoma economics na nina GPA ya 3.9
my past affairs didnt work out thats why im here.
im a God fearing person so naamini kwenye ndoa ya mume mmoja kwa mke mmoja.
details zingine na kama kuna mtu ana swali lolote naona anitumie ujumbe.
 
Pamoja na kwamba nitakua kwenye kamati yako ya uchaguzi nataka nikupime kwanza nijue km unaweza kuhandle family matters...yumkini nina dada single of whom km ukiwa straight forward utaweza kujitwalia...bt actualy nataka dada yangu awe shemeji yangu kwa fact kwamba mume wake awe rafiki yangu na ni dhahiri kua mke wa rafikiyo ni shemejio bila maswali zaidi!....Upo?
 
nipo just bring it on
 
<p>
pigo moja tu na moyo ukagawanyika kama uonanyo kwenye avatar.
</p>
<p>&nbsp;</p>

mara moja haitoshi ingekuwa umeshabrokiwa mara 3 au 4 ungekua na experience nzuri sana ya mapenzi halafu ungenifaa mno maana mimi napendaga kweli mabrokenheart
 
<p></p>

kweli hujui machungu yangu
 
natamani sana ningefanikiwa ila naona mwitikio wa wadada ni hasi.
 
Back
Top Bottom