Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,808
- 59,317
Inabidi uweke dau kidogo ili watu wavutiwe angalau kidogo!dah!
Na wewe ushakachinjia baharini. Ngoja niendelee na promoshen mdogomdogo.
Inabidi uweke dau kidogo ili watu wavutiwe angalau kidogo!dah!
Na wewe ushakachinjia baharini. Ngoja niendelee na promoshen mdogomdogo.
nipe details zako zaidi kwenye pm.
nitaendelea kusubiri mkuu.
asante kwa kunitia moyo
PM sijui jinsi ya kuandika!
Mi nimeishia form four ila vigezo vingine vyote nnavyo!!Nitume maombi?
kama nilivyosema misimamo mingine inaweza legezwa tu.
vigezo sio msahafu
Basi nifikirie!
nipe details zako zaidi kwenye pm.
:bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
Hiyo union ikitokea jamani mrudi kutuambia tutoe michango ya harusi
PM sijui jinsi ya kuandika!
:bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
We mbona hujibu PM sasa.
dah!....mbona hakuna pm?