Mfukunyuzi
Senior Member
- May 30, 2012
- 125
- 9
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu