Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
akio-toyoda.jpg
CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota.

Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14.

Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012 katika teknolojia ya magari baada ya kuleta mageuzi makubwa katika kampuni ya Toyota; katika usimamizi, uzalishaji wa model za aina nyingi, marketing na usimamizi wa models nyingi ambazo zilitoka. Changamoto yake alikuwa sio mpenzi wa magari ya umeme.

CEO mpya wa Toyota tayari ametangazwa, ni Koji Sato ambaye kabla alikuwa msimamizi wa magari ya Lexus. Koji alikuwa ni mstari wa mbele kwa viongozi na wasimamizi wa Toyota ambao wamepambana katika kukuza teknolojia ya magari ya umeme ya Toyota.

CEO mpya wa Toyota anafahamika kwa kusimamia Lexus kuwa na model za umeme na kuhamasisha Toyota kuwekeza katika teknolojia ya magari ya umeme. Ni msimamizi wa ubunifu wa hydrogen engine za Toyota na Fuel Cell technology za Lexus.

Hatua za Akio Toyoda kuachia nafasi yake kama President wa Toyota; zimeonekana ni hatua mpya ya Toyota kuongeza speed ya kuhamia katika magari ya mfumo wa umeme.
 
Watakaoelewa na waelewe
Dunia inaenda kwa kasi sana na magari ya umeme yatazalishwa sana ila na sisi basi tuwe hata na wazo yaani wazo tu sio tufanye maana akili zetu zinatutosha wenyewe

Tuwaze hata kuwa na kiwanda cha kwanza kikubwa Africa kutengeneza Batteries kwa ajili ya magari ya umeme

Kwa sasa ukiangalia wako nyuma sana hata production yao ya magari imepungua sana na ni hela nyingi sana kuweza kumudu magari ya umeme kwa sasa

Kweli tutashindwa hata tukiweka mikakati ya miaka 15 kuanzia sasa?

Watoto wasomesheni kazi na uvumbuzi na sio kukariri wanatoka shule hata kuvuka barabarani hawajui

Ingredients zote tunazo kwenye ardhi yetu na jirani kwanini tuwe mazuzu miaka yote
Tupambane sana sio mmekalia kutwa katiba katiba
Hiyo katiba itakuja tu kama tutawadharau hao viongozi na kutokuhudhuria mikutano yao
Screenshot_20230130_104050_Google.jpg
Screenshot_20230130_104011_Google.jpg
 
Watakaoelewa na waelewe
Dunia inaenda kwa kasi sana na magari ya umeme yatazalishwa sana ila na sisi basi tuwe hata na wazo yaani wazo tu sio tufanye maana akili zetu zinatutosha wenyewe

Tuwaze hata kuwa na kiwanda cha kwanza kikubwa Africa kutengeneza Batteries kwa ajili ya magari ya umeme

Kwa sasa ukiangalia wako nyuma sana hata production yao ya magari imepungua sana na ni hela nyingi sana kuweza kumudu magari ya umeme kwa sasa

Kweli tutashindwa hata tukiweka mikakati ya miaka 15 kuanzia sasa?

Watoto wasomesheni kazi na uvumbuzi na sio kukariri wanatoka shule hata kuvuka barabarani hawajui

Ingredients zote tunazo kwenye ardhi yetu na jirani kwanini tuwe mazuzu miaka yote
Tupambane sana sio mmekalia kutwa katiba katiba
Hiyo katiba itakuja tu kama tutawadharau hao viongozi na kutokuhudhuria mikutano yao View attachment 2500115View attachment 2500116
Cobalt Congo, lithium Congo na Zimbabwe, Nickel Zambia, Zimbwabwe, Madagascar,

China amesha Book nchi zote hizo kwenye race ya Batteries, tutakuja kutumikishwa kuchimba watafaidika wengine.
 
akio-toyoda.jpg
CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota.

Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14.

Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012 katika teknolojia ya magari baada ya kuleta mageuzi makubwa katika kampuni ya Toyota; katika usimamizi, uzalishaji wa model za aina nyingi, marketing na usimamizi wa models nyingi ambazo zilitoka. Changamoto yake alikuwa sio mpenzi wa magari ya umeme.

CEO mpya wa Toyota tayari ametangazwa, ni Koji Sato ambaye kabla alikuwa msimamizi wa magari ya Lexus. Koji alikuwa ni mstari wa mbele kwa viongozi na wasimamizi wa Toyota ambao wamepambana katika kukuza teknolojia ya magari ya umeme ya Toyota.

CEO mpya wa Toyota anafahamika kwa kusimamia Lexus kuwa na model za umeme na kuhamasisha Toyota kuwekeza katika teknolojia ya magari ya umeme. Ni msimamizi wa ubunifu wa hydrogen engine za Toyota na Fuel Cell technology za Lexus.

Hatua za Akio Toyoda kuachia nafasi yake kama President wa Toyota; zimeonekana ni hatua mpya ya Toyota kuongeza speed ya kuhamia katika magari ya mfumo wa umeme.
Wameanza kufeli hawa... inabid hatakama wanatengeneza magari ya umeme basi na ya engine za kawaida waendelee kutengeneza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakaoelewa na waelewe
Dunia inaenda kwa kasi sana na magari ya umeme yatazalishwa sana ila na sisi basi tuwe hata na wazo yaani wazo tu sio tufanye maana akili zetu zinatutosha wenyewe

Tuwaze hata kuwa na kiwanda cha kwanza kikubwa Africa kutengeneza Batteries kwa ajili ya magari ya umeme

Kwa sasa ukiangalia wako nyuma sana hata production yao ya magari imepungua sana na ni hela nyingi sana kuweza kumudu magari ya umeme kwa sasa

Kweli tutashindwa hata tukiweka mikakati ya miaka 15 kuanzia sasa?

Watoto wasomesheni kazi na uvumbuzi na sio kukariri wanatoka shule hata kuvuka barabarani hawajui

Ingredients zote tunazo kwenye ardhi yetu na jirani kwanini tuwe mazuzu miaka yote
Tupambane sana sio mmekalia kutwa katiba katiba
Hiyo katiba itakuja tu kama tutawadharau hao viongozi na kutokuhudhuria mikutano yao View attachment 2500115View attachment 2500116
... Mkuu; huko mbali sana! Points 7 ambazo zimekuwa zikimwagika kwa wingi roughly miaka 15 iliyopita; mavyuo vikuu yalivyoongezeka nchi miaka 20 iliyopita tunashindwa hata kuweka ban bajaj na mikokoteni inayoitwa Toyo or similar brands tukasema sasa basi marufuku kuagiza hivi vizalishwe nchini? Tutatoboa lini sasa kama hadi pamba stick za kuchokonolea masikio tunaagiza!
 
Utazalisha bila kuwa na technology?, Watu,?
 
Cobalt Congo, lithium Congo na Zimbabwe, Nickel Zambia, Zimbwabwe, Madagascar,

China amesha Book nchi zote hizo kwenye race ya Batteries, tutakuja kutumikishwa kuchimba watafaidika wengine.
Katika vyote ulivyovitaja Japan anazalisha kipi mbona wanaongoza kwa uzalishaji wa magari?
 
Japan anaongoza kwenye technology zote duniani, hakuna Tech ngumu isiotoka kwao.

Kuna vitu complicated sana uongo kwa sisi kusema tunaweza kutengeneza ila kuna vitu ambavyo ni possible sisi kutengeneza hata kama sio finished product.

Hizi battery ni moja wapo, kuna Nchi masikini masikini kibao zina viwanda vya lithium batteries, Nafikiri Congo nao wanajenga chao karibuni.
 
Watakaoelewa na waelewe
Dunia inaenda kwa kasi sana na magari ya umeme yatazalishwa sana ila na sisi basi tuwe hata na wazo yaani wazo tu sio tufanye maana akili zetu zinatutosha wenyewe

Tuwaze hata kuwa na kiwanda cha kwanza kikubwa Africa kutengeneza Batteries kwa ajili ya magari ya umeme

Kwa sasa ukiangalia wako nyuma sana hata production yao ya magari imepungua sana na ni hela nyingi sana kuweza kumudu magari ya umeme kwa sasa

Kweli tutashindwa hata tukiweka mikakati ya miaka 15 kuanzia sasa?

Watoto wasomesheni kazi na uvumbuzi na sio kukariri wanatoka shule hata kuvuka barabarani hawajui

Ingredients zote tunazo kwenye ardhi yetu na jirani kwanini tuwe mazuzu miaka yote
Tupambane sana sio mmekalia kutwa katiba katiba
Hiyo katiba itakuja tu kama tutawadharau hao viongozi na kutokuhudhuria mikutano yao View attachment 2500115View attachment 2500116
Hayo mawazo tunayo vijana ambao hatupo kabisa kwenye system ya uongozi kazi za juu..
Wazee wetu smart phone tu zinawashinda kutumia hawana uwezo wa kuwaza hayo.
 
Cobalt Congo, lithium Congo na Zimbabwe, Nickel Zambia, Zimbwabwe, Madagascar,

China amesha Book nchi zote hizo kwenye race ya Batteries, tutakuja kutumikishwa kuchimba watafaidika wengine.
Inasikitisha sana mkuu
Yaani hatuna tofauti na wazee wa zamani waliokuwa wanachukuliwa utumwani

Kama tunashindwa kuzuia mali zetu au kufanya wenyewe sasa tuna tofauti gani na wanyama?
 
... Mkuu; huko mbali sana! Points 7 ambazo zimekuwa zikimwagika kwa wingi roughly miaka 15 iliyopita; mavyuo vikuu yalivyoongezeka nchi miaka 20 iliyopita tunashindwa hata kuweka ban bajaj na mikokoteni inayoitwa Toyo or similar brands tukasema sasa basi marufuku kuagiza hivi vizalishwe nchini? Tutatoboa lini sasa kama hadi pamba stick za kuchokonolea masikio tunaagiza!
Kwanza Mkuu Asante kwa hili
Nikisikia vitu vidogo tunaagiza kutoka nje huwa nasema hivi sisi tuna disabilities za aina gani?

Kuna nchi huwa wakiamua kitu wanaamua na wananchi wanaafiki na kutii

Nakumbuka vijana wa high school watatu walitengeneza dawa na ikakubalika nchini na zinauzwa sana kwa sasa

Sisi watoto maelfu hawajui hata kusoma achilia mbali ku reasoning kitu

Mkuu kila ukiwaza au kutoa rai unaambiwa huo ni mradi wa mkubwa sasa hii nchi hata kama ni mradi wa mkubwa akili ndio zimeishia hapo kulaumu tu
 
Back
Top Bottom