MgonjwaUkimwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 1,336
- 875
Wanajamvi, nisaidieni. Bongo ni wapi, mbongo ni nani na ana tofauti gani na mTz? Asante.
[B said:MgonjwaUkimwi[/B];3509538]Wanajamvi, nisaidieni. Bongo ni wapi, mbongo ni nani na ana tofauti gani na mTz? Asante.
Kazi kweli kweli! The Home of Great Thinkers!
bongo ipo mashariki ya kati....wananchi wake ndo wabongo
watz ni watanzania