Nionyeshe couple moja ya Mhindi na Mwafrika hapa Tanzania nami nikuoneshe couple 1000 za Waarabu na Waafrika

Makimuda255

Senior Member
Jul 31, 2020
165
286
Nionyeshe couple moja ya Muhindi na Mwafrika hapa tz nami nikuonyeshe couple 1000 za Waarab na Waafrika.

Hii inaitwa "Nipe nikupe" nambie ushawahi kuona wapi ndoa, mahusiano, couple au machotara wa kihindi na waafrika yaani Mzazi mmoja mhindi na mwingine mbongo yaani mtz?

Sijawahi kuona ndoa ya muhindi na Mwafrika, au waliozaa watoto, au machotara wa kihindi hapa Tanzania tokea nizaliwe.

Ndoa ambazo nakutana nazo ni Waarab kwa waafrika au wazungu na Waafrika.

Waarab na waafrika nahisi ndo jamii wanaoana sana hapa tz katika kipengele cha Interacial marriage lakini Wahindi sasa!

Ushawahi kuona ndoa ya muhindi na mwafrika/Mbongo hapa tz? Lete evidence hapa, mm sijawahi kuona kabisa sababu ninini?
 
Nionyeshe couple moja ya Muhindi na Mwafrika hapa tz nami nikuonyeshe couple 1000 za Waarab na Waafrika

Hii inaitwa "Nipe nikupe" nambie ushawahi kuona wapi ndoa,mahusiano, couple au machotara wa kihindi na waafrika yaani Mzazi mmoja mhindi na mwingine mbongo yaani mtz?

Sijawahi kuona ndoa ya muhindi na Mwafrika, au waliozaa watoto, au machotara wa kihindi hapa Tanzania tokea nizaliwe

Ndoa ambazo nakutana nazo ni Waarab kwa waafrika au wazungu na waafrika

Waarab na waafrika nahisi ndo jamii wanaoana sana hapa tz katika kipengele cha Interacial marriage lakini Wahindi sasa!!

Ushawahi kuona ndoa ya muhindi na mwafrika/Mbongo hapa tz??Lete evidence hapa, mm sijawahi kuona kabisa sababu ninini?

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Wahindi ni wabaguzi sana, Bora mharabu ila sababu Yao ya ubaguzi imekaa kidini zaidi .
Wao wanaamini kwenye incarnation so mtu akifa akiwa mtenda maovu kwenye ulimwengu ujao atazaliwa kama mtu mweuzi "delit" na mtu mwema akifa katika ulimwengu ujao atazaliwa eidha kuwa mhindi, mzungu, mharabu au mchina yaan atazaliwa na ngozi nyeupe.
Kwao ngozi nyeusi ni laana na kutokuweza kuwa na akili, hawataki wachanganye damu zao na kitu kichafu na dhaifu.
 
Kanda ya ziwa wapo couple ya African na Indian, ingawaje mara nyingi inakuwa ni wanaume wa kihindi ila wanawake wa kihindi sijaona hata mimi
 
Wahindi ni wabaguzi sana, Bora mharabu ila sababu Yao ya ubaguzi imekaa kidini zaidi .
Wao wanaamini kwenye incarnation so mtu akifa akiwa mtenda maovu kwenye ulimwengu ujao atazaliwa kama mtu mweuzi "delit" na mtu mwema akifa katika ulimwengu ujao atazaliwa eidha kuwa mhindi, mzungu, mharabu au mchina yaan atazaliwa na ngozi nyeupe.
Kwao ngozi nyeusi ni laana na kutokuweza kuwa na akili, hawataki wachanganye damu zao na kitu kichafu na dhaifu.
Mtu mweusi ni kama mnyama tu.
 
Mwanamke wa kihindi hata nipewe bure sintaki ndugu zake wanaweza kukuua sekunde tu.

Huwa hawana sababu ya msingi ni basi tu wewe unekuwa mweusi.

Mi navutiwa zaidi na walatino warembo wa sauzi Amerika na carribien Hawanaga mbishe za rangi.

At least na wazungu Hawa westerners na Scandinavians.

Wazungu wa mashabiki wapuuzi halafu masikini tu kama sisi
 
Wahindi ni wabaguzi sana, Bora mharabu ila sababu Yao ya ubaguzi imekaa kidini zaidi .
Wao wanaamini kwenye incarnation so mtu akifa akiwa mtenda maovu kwenye ulimwengu ujao atazaliwa kama mtu mweuzi "delit" na mtu mwema akifa katika ulimwengu ujao atazaliwa eidha kuwa mhindi, mzungu, mharabu au mchina yaan atazaliwa na ngozi nyeupe.
Kwao ngozi nyeusi ni laana na kutokuweza kuwa na akili, hawataki wachanganye damu zao na kitu kichafu na dhaifu.
Duuuh kumbe ndo imani zao hizi

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mnataka muoe/kuolewa na race tofauti? Hamjipendi?

Race zingine zote wanaoana wao kwa wao na wanaona fahari, nyie mnalilia kabisa kuoa nje ya race zenu mna wazimu? Nyie ndo race pekee mnayoona ni upgrade kuoa nje ya race yenu wakati wengine wanaona ni downgrade kuona nje ya race zao. Miafrika mna safari ndefu.
 
Ndo maana wanajichubua Hawa waafrika
 
Back
Top Bottom