Mheshimu anayekuwekea msosi mezani

Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,235
4,791
Sijui ni wanadamu wote au ni sisi wabongo ila tukubaliane Moja Kwa Moja kuwa mbongo mwenye njaa ana hasira kishenzi.

Hii imekuwa kawaida mbongo kumbwatukia aliyemletea msosi kwamba,mbona wali umekaa hivi,mara hii nyama mbona kama haijaiva wakati huo hata hajala ila anaminya minya na vidole.

Kuna wanao wabwatukia wafanyakazi wa ndani,wake zao ila pia Kuna wanao wabwatukia wahudumu wa hotel au restaurants. Tumeshuhudia majanga ya wafanyakazi wa ndani kukojolea misosi,na kutia vitu vya hovyo kwenye misosi Ili tu kuwa lipiza wanaowabwatukia,ila Bado watu hawajifunzi.

Chukua hii kama mkeo au housegirl anaweza kukuwekea haja ndogo kwenye bakuli lako la kuku basi amini muhudumu unayekutane nae siku Moja hakujui humjui ila unamletea mburunge wakati nae kavurugwa!!!niamimi Mimi atakuwekea hata kohozi kwenye sotojo.
 
bora aweke mavi na vngne ila sio sumu aiseeh huwaga najiuliza tunanunua mavitu njian je tukiwekewa sumu...,? ila mungu anatulinda sana maskini sie
 
Back
Top Bottom