sasa kwa kitambi hichi alichonacho huyu bodyguard Freeman atasalimika kweli?
Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.
Bodigadi wa MBOWE ni SWAI! ....ukabila uliokithiri.
Akiingia Magogoni kichagga kitakuwa ndo lugha ya kwenye makorido ya Ikulu.
Acha mawazo mgando!!!!mara nyingi kwetu huku bodyguard (wa karibu) anatakiwa awe mtu unayemuamini na kuamini huko kutaanzia na mtu unayemfahamu hasa ndugu au wa nyumbani kwako ili akulinde kwa uzalendo!!!huhitaji elimu kubwa ya darasa la pili kujua hilo!!!wewe ulitaka alindwe na nani?ili uridhike
dont judge a book by its cover.....sasa kwa kitambi hichi alichonacho huyu bodyguard Freeman atasalimika kweli?
sasa kwa kitambi hichi alichonacho huyu bodyguard Freeman atasalimika kweli?
Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.
Umefulia mkuu acha uzushi " ni family friends tena mjomba wake na Mbowe na mjomba wake jamaa ni marafiki????@##@.Umevurugwa ritz!!!!!!!! acha utunzi wa uongo. Kama una uhakika nitajie jina la mwanzo la huyo Swai na uniambiye mama yake Mbowe ametokea Wilaya gani? na kama ni Machame ni kata gani.
Umefulia mkuu acha uzushi " ni family friends tena mjomba wake na Mbowe na mjomba wake jamaa ni marafiki????@##@.Umevurugwa ritz!!!!!!!! acha utunzi wa uongo. Kama una uhakika nitajie jina la mwanzo la huyo Swai na uniambiye mama yake Mbowe ametokea Wilaya gani? na kama ni Machame ni kata gani.
Bodigadi wa MBOWE ni SWAI! ....ukabila uliokithiri.
Akiingia Magogoni kichagga kitakuwa ndo lugha ya kwenye makorido ya Ikulu.
Bado tu una mawazo mgando,anayetetea ukabila nani,wewe ndio unawaza ukabila ukaianzisha hoja na haikusaidii kwa lolote!!!mambo mengine ni asili huwezi kupinga,jiangalie kwanza wanaokuzunguka wewe sio kumuangalia mbowe!!!usitake ku pritendi hap jf!!!nadhani hata hao unaowasemea huwajui vema na huenda hawana mtu wao mwenye vigezo au protocol inawabana maeneo fulani!!!kama huutaki ukweli unaruhusiwa kuandamana kuupinga,nami nitapokea maandamano yako.Itawale fikra na mtazamo wako wa kikabila kwa manufaa yako na vizaziUnatetea ukabila tu hapa. Mbona Nyerere hakuwa na bodyguard Mzanaki? Unafiriki bodyguard wa Kikwete ni Wakwere? ...Kwa faida yako na wengine wanaofanana nawe, yule ADC wake hatoki Bagamoyo wala mikoa ya Pwani.
Ukabila utawatafuna.
Bado tu una mawazo mgando,anayetetea ukabila nani,wewe ndio unawaza ukabila ukaianzisha hoja na haikusaidii kwa lolote!!!mambo mengine ni asili huwezi kupinga,jiangalie kwanza wanaokuzunguka wewe sio kumuangalia mbowe!!!usitake ku pritendi hap jf!!!nadhani hata hao unaowasemea huwajui vema na huenda hawana mtu wao mwenye vigezo au protocol inawabana maeneo fulani!!!kama huutaki ukweli unaruhusiwa kuandamana kuupinga,nami nitapokea maandamano yako.Itawale fikra na mtazamo wako wa kikabila kwa manufaa yako na vizazi
Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.