Bodyguard wa Freeman Mbowe

BORGIAS

Senior Member
Jun 3, 2012
134
57
sasa kwa kitambi hichi alichonacho huyu bodyguard Freeman atasalimika kweli?

Nyimbo+za+kumpongeza.jpg
 
Huyo alikuwa ni baunsa wa club bilicanas, naona ameula coz siku si nyingi atakuwa magogoni! Ha! Ha! Ha! Hii kali!
 
Hiyo kaka siyo kitambi ni misosi tu jamaa anafakamia misosi mingi ili imsadie kuwa na nguvu.usije ukajaribu kumsogelea muheshimiwa Mbowe maana watu watadhania umegongwa na Treni.
 
Jamaa alivyo na mbowe waona wanaendana...Wa mkuluu vipi?
 
Mbona hi thread ni Shallow sana great thinkers hawawezi kujadili personality nenda kajifunze ustaarabu.
lete vitu vyenye tija bwana.
 
Ndiyo maana mimi bodyguard wangu ni waukweli, hana cha kuugua au kuzidiwa na mpinzani. Je wataka kumjua?, tega sikio nikunong'oneze, anaitwa YESU KRISTO.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Huyo bodyguard wa Mbowe siku moja pale Bills alichezea vibao kutoka kwa dogo mmoja wa kihindi mpaka damu...halafu Mbowe akisafiri nje ya Dar es Salaam anamuacha lakini Arusha tu ndio anaenda nae..
 
Huyo bodyguard wa Mbowe siku moja pale Bills alichezea vibao kutoka kwa dogo mmoja wa kihindi mpaka damu...halafu Mbowe akisafiri nje ya Dar es Salaam anamuacha lakini Arusha tu ndio anaenda nae..

Kwa kile kitambi nayaamini maneno yako. ila naomba unipe detail zake kama ana uhusiano gani na mbowe huenda ni ujanja wa kupeana kibarua
 
Huyo bodyguard wa Mbowe siku moja pale Bills alichezea vibao kutoka kwa dogo mmoja wa kihindi mpaka damu...halafu Mbowe akisafiri nje ya Dar es Salaam anamuacha lakini Arusha tu ndio anaenda nae..

Mbona unajichanganya sasa hiyo picha ni Arusha?Jipange sawa sawa kijana!Ajuwaaaaaaa!
 
Huyo bodyguard wa Mbowe siku moja pale Bills alichezea vibao kutoka kwa dogo mmoja wa kihindi mpaka damu...halafu Mbowe akisafiri nje ya Dar es Salaam anamuacha lakini Arusha tu ndio anaenda nae..

hapo alipo sasa havi kwa mujibu wa picha ni ARUSHA?
 
Kwa kile kitambi nayaamini maneno yako. ila naomba unipe detail zake kama ana uhusiano gani na mbowe huenda ni ujanja wa kupeana kibarua

Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.
 
Huyo bodyguard wa Mbowe siku moja pale Bills alichezea vibao kutoka kwa dogo mmoja wa kihindi mpaka damu...halafu Mbowe akisafiri nje ya Dar es Salaam anamuacha lakini Arusha tu ndio anaenda nae..[/QUOTE]
Kwa hiyo hapo wako arusha mtaa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom