Duh-- wengine majina yetu kwenye ile list hayamo sasa sijui ndo tumeondolewa kabisa au ndo vipi---!
Big thanx kwa TCU kwa kutujuza wapi tumedahiliwa, and now macho na masikio yetu yanaelekea heslb ili tujue kama hizo kozi tutazimudu ama la, mwenye taarifa zozote juu ya hawa jamaa lini wanaweka mambo hadharani please atujuze--
100% nishajua tayari ninazo unacheza na pande eeh !!
hebu tupe hints kijana
hebu tupe hints kijana
BVM ni lazima 100 kaka
BVM ni lazima 100 kaka
Basi namimi MINING ntakamata 100% Nimesoma St. Kayumba ila A-Level ndo nika dunda private, Baba Mtengeneza baiskeli mama muuza Vitumbua Ha ha ha haaaa mkopo 100%
kaka embu ngoja nikuulize hv birth certificate Yako ulitengeneza mwaka gani? Maana jamaa wa bodi ya mkopo washajua zile certificte zilizotolewa miaka ya 2000 kupanda juu zina udanganyifu ndani Yake !! Ila yangu nilipozaliwa miaka ya 1992 mwez wa 9 changu kikatoka mwez wa 10 mwak huohuo mpango mzima hakuna udanganyifu ndani yake alafu kama kawaida kazi za wazazi wakulima teh teh bahati ilioje sasa we kama birthcertfct yako imetoka miaka ya 2000 na kitu afu wewe ulizaliwa miaka ya tisini or themanini na kitu jua ishakula kwako !!
<<< Ze duduz >>>
Ha ha haa ze duduz usiogope amkiding!! ila mkopo lazima Niko full prepared pade hizo
Acha ukuda kijana..;-(