KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 537
Usijibibizane na mtoto wa Chenge kwake yeye 10% hata vijisent havifikiiMm sipingani na kulipa. sasa wewe unavyosema kwamba ss vijana majukumu hayajapandana nakushangaa sana tena sana. hujui kwamba ss ndounakuta tunalea familia zetu kama wazazi, wadogo zetu waende shule na mambo mengine halafu unasema hayo maneno. Nazani hayo maneno nikwajili ya watoto waviongozi na matajiri sio ss ambao tunajua jinsi tunavyoteseka hili ndugu na jamaa zetu wapate japo mlo wa siku.