kipakaMwitu
Senior Member
- Feb 19, 2009
- 158
- 20
hao helsb nawashangaa kwanza, wana matatizo haiwezekan watu wamesoma koz moja harafu mkopo wakapa the same, leo kwenye kulipa unakuta kuna wanaodai 6mil wengine 2mil, wakat kozi na mkopo ulikuwa unafanana wakat wa masomo. Wapen salamu zangu! Nitawatafuta cku! Najua nitakuwa nawadai muda huo.