E elias emmanuel New Member Sep 19, 2012 1 0 Sep 19, 2012 #1 Inakuwaje wanatangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo na aslimia zao afu ukitembelea website yao ni EMPTY!!!:flypig:
Inakuwaje wanatangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo na aslimia zao afu ukitembelea website yao ni EMPTY!!!:flypig:
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Aug 11, 2012 5,754 2,341 Sep 19, 2012 #2 mwanangu karibu jf jisikie uko nyumbani ila inapendeza kwanza ukipitia nyuzi nyingine
M Molembe JF-Expert Member Dec 25, 2012 9,823 11,559 Sep 2, 2013 #4 Najua vijana wanasubiria kwa hamu baada ya tcu.
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Apr 25, 2013 647 72 Sep 2, 2013 #5 mh kitu kimekula chumvi kumbe,.
J Jackal Malinza Member Aug 28, 2013 33 4 Sep 2, 2013 #7 kweli mwenyewe sijaona kitu till now halafu watu wanaongelea hiyo ishu mpaka sielewi kitu nisaidieni jamani
kweli mwenyewe sijaona kitu till now halafu watu wanaongelea hiyo ishu mpaka sielewi kitu nisaidieni jamani
N Nyigo Jackson Jn Member Sep 2, 2013 88 7 Sep 2, 2013 #8 cjaielewa maada au coz mbona hao heslb cjasikia kama wametoa majina?
D Dr.Flav Member Jul 5, 2013 11 0 Sep 2, 2013 #9 Bado jamani, tuvute subira ila kwa vyovyote September haiishi bila mambo kuwa tayari!
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Apr 25, 2013 647 72 Sep 2, 2013 #12 mpaka week ijayo watakua wamefanya yao