Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

Habari,

Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini?

Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
Relax mkuu hapo ni taarifa zinahakikiwa tu na mwisho wa maombi bado ndio maana bado watu wanaomba mkuu.
In short ushamaliza kila kitu subiri kupewa mkopo au kukosa.
 
Habari,

Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini?

Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
Stage inayofata hapo inaitwa view application status hii ndo inaonuesha kua information zako wamezipitia na zimekua confirmed so usubir allocation process
 
Kwa wazoefu huu ujumbe wa "wait for the allocation process"
Maana yake ni nin je umepata mkopo au bado
 
Back
Top Bottom