Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Wakuu...Mimi nili cancel admission kwenye chuo husika kbx ili kuomba chuo kingine maana kulingana na mifumo yetu ukisha chaguliwa chuo kimoja inatakiwa u-comfirm au Kama ukitaki u-cancel admission nakuomba chuo kingine lkn nilichaguliwa kwahiyo na mm apa natakiwa kwenda TC kabla ya kuomba mwaka mpya wa masomo
Ulifanya usajili?
 
Hapana hata usahili sikufanya yaan nili cancel addimission ili nipate nafasi ya kuomba chuo kingine kwhyo hata usahili sikufanya
 
Usahili sikufanya kaka
Ww ni kama mm lkn , nilifika chuo nilicho chaguliwa nikawauliza wakaniambia akuna shida lkn ckulizika na majibu yao pale chuo nikaenda TCU kujilizisha lkn ikawa tofauti wakasema mpaka barua ata kama ukusajiliwa
 
kwa wale ambao wapo vyuoni mfano, kuna vyuo wanamaliza diploma mwez wa 8 katikati, hawa utaratibu wao ukoje?
 
Kwaiyo mkuu hata kama ukwenda kufanya usajili pale chuoni kuna aja ya kwenda TCU kujitoa coz chuo wakishafanya usajili cwanapeleka majina ya wanafunzi wao walio lipoti chuo na ww kama ukufanya usajili inamana siyo mwanafunzi tena wa kile chuo xaxa hapo kunaaja ya kujitoa TCU?
mkuu wangu lazima uende TCU nina ushahidi kuna mtu mwaka juzi 2018 aliomba na kupata nafasi UDSM na akaconfirm chuo hicho bahati mbaya Mkopo hakupata, mwaka jana 2019 akarudi tena kwangu kuapply baada ya kuanza process kuna msg inakuja inasema "tayari ameishadahiriwa chuo kipindi kilichopita, wanasema kutatua hilo tatizo nenda TCU'' Baada ya kwenda alirudi na mfumo kukubali kuendelea yupo UDSM anasoma na mkopo alipata 100%
 
Ndio chukua barua chuoni nenda TCU wanatatua hiyo changamoto
 
kwa wale ambao wapo vyuoni mfano, kuna vyuo wanamaliza diploma mwez wa 8 katikati, hawa utaratibu wao ukoje?
subiri matokeo yatoke mpate Award verification Number then utaendelea nadhan hawatachelewesha kwa sababu Mheshimiwa Rais alishasema Ratiba ziwe pale pale
 
Wakuu...Mimi nili cancel admission kwenye chuo husika kbx ili kuomba chuo kingine maana kulingana na mifumo yetu ukisha chaguliwa chuo kimoja inatakiwa u-comfirm au Kama ukitaki u-cancel admission nakuomba chuo kingine lkn nilichaguliwa kwahiyo na mm apa natakiwa kwenda TC kabla ya kuomba mwaka mpya wa masomo

kabisa kama uliconfirm au ulipata chuo kimoja tu TCU huwa wanaconfirm
 
mkuu wangu lazima uende TCU nina ushahidi kuna mtu mwaka juzi 2018 aliomba na kupata nafasi UDSM na akaconfirm chuo hicho bahati mbaya Mkopo hakupata, mwaka jana 2019 akarudi tena kwangu kuapply baada ya kuanza process kuna msg inakuja inasema "tayari ameishadahiriwa chuo kipindi kilichopita, wanasema kutatua hilo tatizo nenda TCU'' Baada ya kwenda alirudi na mfumo kukubali kuendelea yupo UDSM anasoma na mkopo alipata 100%
Sawa mkuu
 
[SUP]kama unasoma muongozo huo kwa wale MNA hofu mmesoma private schools. Kwenye sehemu ya king'amua uwezo utaelewa vizuri[/SUP]
Mkuu nimemaliza form six mwaka huu katika hiyo nimeelewa yafuatayo ka kuna nilichosahau nisaidie ili nisije kosa mkopo
1.upeleke cheti cha kuzaliwa RITA kwa uhakiki.
2.index no ya form 4 ila maelezo kuhusu cheti sijaelewa
 
subiri matokeo yatoke mpate Award verification Number then utaendelea nadhan hawatachelewesha kwa sababu Mheshimiwa Rais alishasema Ratiba ziwe pale pale
Kwanza madirisha bado kufunguliwa nahisi hadi matokeo ya 6 yakitoka .. Mwishoni mwa mwezi wa 8 au mwez wa 9 mwanzoni application zitaanza
 
Mkuu nimemaliza form six mwaka huu katika hiyo nimeelewa yafuatayo ka kuna nilichosahau nisaidie ili nisije kosa mkopo
1.upeleke cheti cha kuzaliwa RITA kwa uhakiki.
2.index no ya form 4 ila maelezo kuhusu cheti sijaelewa
Kinahakikiwa online, ofisi yetu tunafanya pia hiyo kazi
 
sio kweli inategemea hiyo shule ada yake ilikuwa Shilingi ngapi mfano huwezi kusoma international school of Tanganyika then uombe Mkopo upewe... Shule mfano Airwing ni Private tena kuna wanafunzi wamesoma toka form one had I six na wameomba Mkopo wakapata
Daaah! Umetolea mfano unaonigusa kabsa. Nimesom airwing one to six na nimekosa
 
sio kweli inategemea hiyo shule ada yake ilikuwa Shilingi ngapi mfano huwezi kusoma international school of Tanganyika then uombe Mkopo upewe... Shule mfano Airwing ni Private tena kuna wanafunzi wamesoma toka form one had I six na wameomba Mkopo wakapata
Asante kwa taarifa, sasa kama mzazi alipambana mtoto akasema shule ya 3m kwa mfano kwa O level, lakini baadae mipango ya kipesa ikavurugika...hii inakuwa justified vipi ili mtoto apate mkopo?
 
Mipango ikavurugika kvp ina maana ilihamishia shule ya kawaida au? Kama ndivyo hakuna shida kabisa kinachoongiliwa kama umesoma shule yenye gharama nafuu
 
Back
Top Bottom