Mshikaji wangu hapa kapata mkopo wakati mwanzoni alikuwa kaandikiwa not secured...
Inaniuma sana wadau coz kila saa ni not secured.Cjui nimemkosea nn Mungu mm
Watu kibao walokuwa wamekosa(wenye diploma)...Sasa wamepata.
ni kweli kwan hata mie nimepata
mdau chuo gan na kozi gan?? Dah me bado aisee dit mechanical eng.
Niangalizieni no.
S3101.0043.2010