Yaani hovyo kuliko hovyo yenyewe.Toka wabadilishe mwonekano wa webpage yao imekuwa ni vigumu sana kujua Salio la deni. Hawa webpage designers wao ni hovyo sana. Webpage ya bodi imekuwa sio user friendly kabisa. Mtumiaji anahangaika sana yaani mpaka uende kozi.