kivipi mkuu tupe vitu in deep
Muagizaji magari pesa anaipata kwa style tofauti.

1. Anapoagiza magari kwa wingi anapewa punguzo la bei japan hivyo kufanya CIF kuwa chini tofauti na wewe.Akija bongo atalipa kodi tofauti na wewe.

2. Ananunua gari kwenye auctions ama minada. Huko gari zinapatikana kwa bei chee sana kwa madaraja tofauti.

3.Anapokuagizia kuja bongo anakuongezea cha juu japo utaona anapata kidogo ila anakunyoosha sababu yeye kanunua mfano gari unayoona ni $5,300 yeye kauziwa labda $3,500. Akija anakupiga za kichwa hakosi 5-6M kila gari ikiwa fully paid.
 
oooh kumbeee nimekuelewa mkuu nashukur sanaa
 
hivi inawezekanaje hii, Gar hiyo GT inauza 18 ukiagiza mpk imefika dar na ushuru ikawa 15 then watu wa hapa hapa bongo yard zinauza 35 inamaana wanapata faida 1.5 kweli kaka au nimeelewa vibaya
Hiyo ni bei ya Sedan, TRA hawana GT kwenye calculator yao.
 
Mkuu usiagize gari kutoka Singapore, bei zake ni nafuu, ila cha moto utakiona.
 
Back
Top Bottom