blogspot zote hazifunguki;MSAADA

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Habari gani wakuu! Tangu asubuhi ya leo hii kila nikijaribu kufungua blog yangu haifunguki,nikahisi labda ni network lakini mpaka saizi naona kimya,then nikapata wazo la kufungua blog spot zingine kama ile ya michuzi nayo haifunguki.je kuna tatizo gani ?? Mwenye kujua tafadhali atujuze
 
hata mimi nimeshindwa kufungua blog yangu so nahisi ni tatizo la server ya hao wanaoendesha blog zetu,,, na si ya ngono kama wadau wengine wanavyosema
 
hata mimi nimeshindwa kufungua blog yangu so nahisi ni tatizo la server ya hao wanaoendesha blog zetu,,, na si ya ngono kama wadau wengine wanavyosema

labda za kwenu,hebu dondosheni hizo link za blog zenu nizifungue hapa,
jaribuni hii inafunguka fasta
www.gshayo.blogspot.com
 
hata mimi nimeshindwa kufungua blog yangu so nahisi ni tatizo la server ya hao wanaoendesha blog zetu,,, na si ya ngono kama wadau wengine wanavyosema

dah!! mi nilishaanza kuogopa nikajua ime corrupt,tuombe mungu warudishe haraka
 
Back
Top Bottom