Blackberry ni tatizo

moko

Member
Apr 9, 2011
57
2
Wadau kuna blackberry nimetumiwa kutoka nje aina ni script naona haina lain,je wakuu hakuna visoftware tunaweza kuiongiza ndani yake tukatumia lain za bongo?wajanja nipeni utundu
 
Wadau kuna blackberry nimetumiwa kutoka nje aina ni script naona haina lain,je wakuu hakuna visoftware tunaweza kuiongiza ndani yake tukatumia lain za bongo?wajanja nipeni utundu
Hapo cha kufahamu ni je ilikuwa inatumika na mtandao gani nje?
 
Wakuu kiukweli ni cdma,ss hebu tuambiane kua hao zantel au sasa tel ni kitu gani wataifanyia ili nasi tujue jinsi yakufanya wenyewe,nimeupenda maunjanja ya humu ndani sn
 
Mkuu, ingekuwa vizuri zaidi endapo unge tuambia ni blackberry model ipi?

Maana kuna baadhi ya BB sehemu ya kuwekea line zimejificha, mfano BB 8830WE Hii ina support technolojia zote mbili GSM na CDMA, hii BB ukiangalia kwa wasi wasi unaweza dhani hiana sehemu ya kuwekea line.
 
Back
Top Bottom