Binti yangu anahitaji mume

Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm

binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye

uwe mrefu

mcheshi

unaye penda suti

gari lolote jipya dogo

uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo

binti yangu anaumri wa miaka 20

ana masters ya sheria (haki za binadamu).

naona post yako inapingana na thory ya kitanzania...mtanzania anakuwa na masters akiwa na miak kuanzia 25 yrs....
 
tangu lini mapenzi yakanadiwa nyuma ya pazia hapo mtaani hakuna vijana mpaka umeamua kumtafuta humu mme? la mwisho vp kwenye kamchezo yupo sawa.
 
Mtaani kwenu amekosa?. Na doubt na huo umri na Elimu yake.

Jaribu kumtembeza ktk nyumba za ibada ukamfanyie promosheni huyo binti yako.

Hapa jf wengi pasua kichwa.
 
Nina wasiwasi na hiyo elimu,kama kweli anayo asingeweka hizo sifa za ajabu za mume anaemtaka!
 
souds kama joke flan hivi!
af masters ya sheria na miaka 20??
mh! si bishi ila nadoubt sana.
anyway, kila la kheri.
inawezekana kama wanaishi nje ya tz koz huku hakuna cha form five na six ni kwamba watu wakitoka primary wanazama college au university...........so its possible meeeen
 
hakuna baba juha kama wewe!halafu mastaz miaka 20?labda kama alianza shule kabla ya kuzaliwa
 
kama ni huyo binti mi namfahamu,aliacha shule akiwa darasa la pili na aliolewa na jamaa mmoja anaitwa abdul yuko pale magomeni dar na akaachika baada ya miezi miwili na tangu hapo hakusoma hata kidogo ila alikuwa ni bandika bandua.Huenda kweli ana masters lakini ya kuchakachuliwa na kutupwa ila shule no,utakayepatikana utakoma
 
Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm

binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye

uwe mrefu

mcheshi

unaye penda suti

gari lolote jipya dogo

uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo

binti yangu anaumri wa miaka 20

ana masters ya sheria (haki za binadamu).

Nınavıgezo vyote vya kuchukua Bıntı yako but u seem to be a lıar! I doubt km umrı huo Bıntı yako tayalı ana Masters au ulımrusha madarasa?
Na kama ulıfanya hıvyo bası atakuwa na mapungufu makubwa sana ınterms of strugglıng for lıfe so atansumbua sana kuıshı nae.
 
Nlishamtokeaga msichana mmoja hivi akaniambia ana Jamaa yake, lakini jamaa yake mwenyewe ni M-babu mtu mzima umri umekwenda kiasi.,
Akafika mbali zaidi kua eti huyo babu yuko tayari huyo msichana awe na mume wa rika lake lakini huyo babu nae amjue wawe marafiki, pia akubali wawe-share.
Kana kwamba haitoshi, huyo Babu akaahidi kumtafutia hako kabinti mume kama yeye hawezi kutafuta.
Kusikia hivyo nlitoka nduki kali sana siku hiyo, sasa nahisi ndio wewe yule "babu" umehamia huku!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom