Hivi nyie vipi? Ukae Ikulu ya sasa (sio ya Mwalimu) halafu usiwe mrembo?
Kumbe ana watoto wa kike wakubwa kabisa wanao fanana na yule binti wa Zakhia Meghj.
Hivi nyie vipi? Ukae Ikulu ya sasa (sio ya Mwalimu) halafu usiwe mrembo?
she is Beautiful....
Mamaake kamaliza kila kitu!...Nadhani ni mtoto wa Salma huyu!
Mkuu hapo sijakuelewa, maana yake ni nini hasa hapo red?
Tafadhali mkuu, fanya hima. .. Nane ajuae nami nikawa mwana wa mfalme by association?
picha kama hii ndio inatakiwa ionekane sio rais umekaa nyuma yako kuna mgambo .....kama vipi kuanzia leo jk ni rafiki yaku
Mkuu hapo sijakuelewa, maana yake ni nini hasa hapo red?
haleluyaaaa...