Binti wa Mkuu wa kaya

Huyu Bint namkubali sana, She is real brilliant and headstrong woman.
She is unique and of Kind.
Tayari ana mtoto ambaye amezaa na jamaa ambaye baba yake alikuwa hamkubali kwasababu ya tofauti za kidini, lakini bint akaweka msimamo.

Songombingo yake ndiyo ikafuatiwa na ile 'filamu' ya akina Alex Massawe na scandal zao, lakini bint hakuyumba, mzee akashauriwa kuwa mpole, hakusikia,Bint akakata mawasiliano na mzee mpaka watu walipomshauri mzee ndipo akaanza kuwasiliana naye tena na kumpangishia apartment pale Richmond Towers, Upanga Mtaa wa Mindu floor No. ,ambapo ndipo akawa anaishi.

Kilichofuata, bint akampeleka jamaa kumtambulisha, ikabidi mtu mzima amwambie jamaa asubiri bint amalizie Chuo ndiyo mambo mengine yafuate. kwa kuwa bint anamfahamu vizuri mzee wake alijua kuwa lazima katika muda huo atakuwa ana plant kitu Vs Jamaa, ndipo bint akaamua kubeba mimba ya jamaa akiwa bado yupo chuo, hapo mtu mzima akaishiwa nguvu na kukubali matokeo.

Mwisho Bint alimaliza Shule yake Salama (Kama jina lake lilivyo), akiwa na katoto kake.
wewe utakuwa unamuongelea mwingine
 
Hapa ni kama vile wanasema.....

mzungu.JPG
 
Hujasomeka, unamuongelea Salma Kikwete au huyu Mwanaasha?

Kama ni Mwanaasha aliebebeshwa mimba then by that time atakuwa alikuwa under eighteen which means jamaa lazima angefunguliwa mashtaka kumuharibia maisha dent.
 
Binti kamaliza shule, matokeo mmeyaona hatarajii kuendelea na masomo, wengine tunaandaa kupeleka posa, lugha za kashfa hapa jamvini tutarusha ngumi kwenye keyboad oohoo!

d10.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SMU
MashaAllah, halafu anaonesha ni kichwa kama baba'ke.
Maneno yako hatimae yametimia... hakyanani sikupuuzi tena dada faiza kuna mengi utakuwa unayasema kumbe yana kaukweli ndani yake, ona sasa ukweli ulivyojidhihirisha!!
 
Kumbe huyu ndiye MwanaAsha aliyepiga div 4.. Now nishamsoma.
Hapana, huyo sio Mwanaasha, huyo jidada sio mtoto wa form IV huyo.

Tanzania hakuna scrutiny ya background ya viongozi, ndo maana hata watoto wake watu hawawajui, kazalisha wangapi hatujui, mama zao nani na nanii hatujui, hata journalist aliyepiga hii picha Ikulu hawajui, hii picha haikuwa na caption.
 
Back
Top Bottom