Binti wa Mkuu wa kaya

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Kwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts

zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo
d10.jpg
 
jamani mi siioni hiyo picha, tatizo ni kimeo changu au kitu gani, picha nyingi humu jf kwangu hazifunguki, msaada jamani nami nimuone huyo anaeitwa mrembo...
 
Kwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts

zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo
d10.jpg
Kumbe ana watoto wa kike wakubwa kabisa wanao fanana na yule binti wa Zakhia Meghj.
 
Tayari wameanza kumpa shavu katika medani ya vyombo vya habari na soon tu tutasikia makeke yake.
 
Back
Top Bottom