Binti wa Mkuu wa kaya

Binti mkubwa wa mkuu ni Daktari Salima na sio mtoto wa Salma, Huyu mama yake ni yupi?
 
Hey, kwan kuna utam tofauti kati ya kitimbua cha mtoto wa mfalme na mama ntilie???? same ingredientz.....haaaa haaaa haaaa
 
Ikulu ya tanzania imekuwa ya familia mpaka mtoto anakaribisha wageni?????????

Watoto wa wengine watafanya kazi hiyo lini? Nepotism
 
Kwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts

zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo
d10.jpg

kudadeki, yaani dingi kakosa amani ghafla duuuuuuuuuu!
 
jamaa ana watoto kumi kati ya hao mmoja amemuasili. Mie nnachojua Salma watoto wake bado wadogo. Au huyu ndo yule anayefundisha muhimbili nini?
 
Mbona hamna kitu hapo???Sijajua watu uzuri wanaangalia nini!

Km una-girl friend au umeoa lazima huyo mwenzio atakua mrembo km Masoud Sura Mbaya - aliemshinda Marehemu Remmy kwenye mashindano ya sura mbaya!
 
Back
Top Bottom