Binti wa miaka 12 aokolewa na Simba baada ya kutekwa kwa lengo la kuozwa kinguvu nchini Ethiopia

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,789
1,782
Wanaume wapatao 7 walivamia nyumba moja katika kijiji kimoja nchini Ethiopia na kumkwapua binti wa miaka 12 ambapo mmoja wa watekaji alitaka kumuoa bila ridhaa yake wala kibali cha wazazi wake. Walipokuwa njiani wanaenda naye kwao huku wakimburuza kwa nguvu na kumpiga huku akilia walikutana na simba 3 ambao waliwachimba mkwara wakamtelekeza mtoto na kukimbia ili kuokoa maisha yao.

Wakati watu wanamtafuta binti wakiwemo maafisa wa serikali na ndugu wa mtoto walishtuka kumkuta akiwa na simba ambao ni wazi walibaki pale ili kuhakikisha usalama wake na si vinginevyo kuwa hawakumdhuru kabisa. Simba hao walipowaona watu waliokuwa wakimtafuta walijiondokea kimya kimya kuelekea porini hali iliyoashiria kumkabidhi mtoto kwa wahusika.

Jambo hili liliwashangza sana na afisa mmoja alisema kama sio simba hao kumuokoa angepata madhara makubwa kwa kupigwa na kubakwa.

-----

Flashback: Three Lions Save This Girl From Her Kidnappers And Guard Her Until Rescuers Arrive


ba5c4dfc0b80c6b96f00262402c2d271
A young girl who was kidnapped by a group of men trying to force her to marry was reportedly rescued by a group of fearsome predators.

00255dd3d7fb93c3a4d9bc11873e5529
The 12-year-old Ethiopian girl was abducted by seven men who wanted her force her to marry one of them. According to the UN, over 70% of the marriages in rural Ethiopia occur through kidnappings of young women.

The girl had been missing for a week when authorities and her relatives were astounded to find her being guarded by three lions who apparently chased off her captors.

The girl had been repeatedly beaten before she was found and the big cats had been watching over her for half a day until she was located by authorities.

“They stood guard until we found her, and then they just left her like a gift and went back into the forest,” one police investigator told the press when the remarkable event was reported.

“If the lions had not come to her rescue, then it could have been much worse. Often these young girls are raped and severely beaten to force them to accept the marriage,” he said.

Four of the seven men were arrested by police and the young girl was taken home to recover with her family.

The lions’ behavior seems miraculous, considering you would think they would attack the girl rather than save her, but wildlife expert Stuart Williams told the news agency that she may have survived because she was crying.

A young girl whimpering could be mistaken for the mewing sound from a lion cub, which in turn could explain why they didn’t eat her,” said Williams.

There are estimated to be fewer than a 1000 Ethiopian lions left in the wild, making her rescue all the more amazing.

Habari kamili [Flashback: Three Lions Save This Girl From Her Kidnappers And Guard Her Until Rescuers Arrive"]hii hapa[/url]
 
Wildlife expert tries to explain HOW? but it doesn’t make any sense...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom