Binti wa miaka 12 aokolewa na Simba baada ya kutekwa kwa lengo la kuozwa kinguvu nchini Ethiopia

Sasa unakioa kitoto cha miaka 12 utakuwa mzima kweli wewe? Mila na desturi nyingine ni laana! Kiangalie hata mwonekano - hakijui lolote halafu ndio zee zima linaenda kukiwasha! Yalaaniwe mabazazi yote yenye tabia chafu kama hizi!
 
Zaburi 119:91 "kwa hukumu zako vimesimama imara hata leo, maana vitu vyote ni watumishi wako" kudos simba kwa kutumika kama watumishi wa Bwana dhidi ya wabakaji!
 
Hizi kesi zipo sana kuna yule jamaa aliyelelewa na nyani hadi akakua watu wa TANAPA wakaenda kumchukua saizi anaishi mabibo hapa dar na milladi Ayo amewai kumuhoji na video ipo you tube
 
Mungu aliye kamata makanwa ya simba wakati wa Daniel,ndiye yule yule jana,leo na hata milele akili zake kamwe hazichunguziki.
 
Huyu photographer anahitaji tuzo na yupo serious kwenye kazi yake.
Ilikuwa inahitajika passport ya Simba kwaajili ya kitambulisho, baada ya hapo ataenda kumpiga komba, ngonyani, mapunda, tembo na wengineo, hiyo ilikuwa huko songea
 
Sema wabakaji si watu wa kawaida...Huwa sipati picha unamwingilia mwanamke bila ridhaa yake..tena na hataki kabisa....hivi kwanza mashine inapenyaje aisee......
Kama mke tu nyumbani kama hataki na ukalazimisha akakupa kishingo upande unaona tu kabisa unazingua na hakuna kuenjoy sembuse mwanamke uliekaba shingo, anaangaika...etc duuh!!
 
Back
Top Bottom