Binti kanizidi kiiiila kitu

Mkuu hii comment yako yaani nimejikuta na nacheka...Duu
Mama anamjaza kibri mwanae asijekusumbuliwa na mwanamme. ..!

Nilijua hujamzoea ndo Maana umeleta Mada hii..

Kumbuka hawa wanawake wanapoenda kusoma mama zao huwaambia.
"Soma mwanangu ili mwanaume asikuangaishe"

Kwahiyo wanapachikwa chuki na Dharau kwa mwanaume atakaempata .

Kwahiyo Subiri kwa Mda wa Miaka kadhaa ndo Utaona kama anakupenda Ama La.

Kama atakupenda zaidi. Basi atakuwa 1 in 1000,000
 
Kwa nini uichukulie kama permanent situation? Wewe piga kazi na unaweza kumzidi pia. Yaani hata ukitafuta uliyemzidi anaweza akafanya bidii akakuzidi mkiwa kwenye ndoa. Au ndio utakuwa unamkataza kujiendeleza au kusoma zaidi? Mambo ya kawaida. Kama unampenda go for it.
 
Haijalishi hiyo makitu aliyokuzidi, hizo ni issue mbili tofauti.
Chukua mzigo huo dogo.
 
Nilijua hujamzoea ndo Maana umeleta Mada hii..

Kumbuka hawa wanawake wanapoenda kusoma mama zao huwaambia.
"Soma mwanangu ili mwanaume asikuangaishe"

Kwahiyo wanapachikwa chuki na Dharau kwa mwanaume atakaempata .

Kwahiyo Subiri kwa Mda wa Miaka kadhaa ndo Utaona kama anakupenda Ama La.

Kama atakupenda zaidi. Basi atakuwa 1 in 1000,000

mi hiyo statement ya soma usinyanyaswe na mwanaume yoyote niliambiwa na baba yangu na wala si mama
 
mi hiyo statement ya soma usinyanyaswe na mwanaume yoyote niliambiwa na baba yangu na wala si mama

Hakijaharibika kitu Tunaangalia asilimia kubwa statement hii wanaitoa wakina nani.

Mi nilishasikia Ma mkubwa yangu akimwambia Mwanae.

Hata hivyo jibu unalo! Kwamba Mwanamke anachukua usemi huo anakuwa na Chuki na Kiburi kwa Mwanaume kisa Anadegree
 
hapa nitarudi kesho hangover zikiwa zimepungua maana sasa nimekosa neno

Kuna wakati napata feeling sana kuwa kuna upande fulani tunawazidi sana upeo hawa the opposite sex zetu japo ndo vichwa vyetu vya nyumba! ndo nguzo zetu! etc! but kubali kataa kuna kituuu. . Kama firstlady na mimi hapa nimesikia kizunguzungu ngoja nipite kwanza. .
 
hakuna haja ya kumuacha-kajitolea sana kwako-kama unaogopa mbeleni kwamba atawahi kuzeeka-hilo swala futa akilini mwako-maana unaweza onekana wewe umezeeka kuliko yeye
 
hii kitu naweza iangalia kwa mitazamo tofauti tofauti. Jichungue unafit wapi.

Mtazamo 1: kakuzidi kila kitu hadi upeo, hata hili wazo la ndoa ni lake japo wewe hujui. Kwa kifupi kakufanya 'puppet' wake.
Mikataba ya wakoloni na machifu wa enzi zile. Mtu akikuzidi upeo na pesa !!!?????
Kwani una umri gani wewe?

Mtazamo 2: kweli binti kakupenda na labda anatamani kukuoa, maswali ya wewe kujiuliza,

1. Uko realistiz kwa kiasi gani? Mtu akikuzidi upeo na elimu, fahamu wazi kwamba idea nyingi za maamuzi ya maana zitatoka kwake, uko tayari kwa hilo, na 'EGO' yako ya kiume ikuruhusu kwa hilo.

2. Pesa, sababu yeye ndo mwenye pesa tegemea anaweza kuwa na priorities tofauti na wewe, je ukotayari kukubaliana na hilo?

3. Unajiamini kiasi cha kutosha? Wanamme wanaozidiwa kipato na wake zao huwa wana inferiority kiasi cha akimkuta anaongea na mtu bila kujua ni nani unaanza ugomvi, kukagua pochi na simu kila mke akirudi. Niliwahi sikia kwa jirani yangu, mmewe akinusa ch**p* ili kujua kama katoka kwa mabwana wengine.

4. Wewe ni mwajibikaji? Kama mali ya mwanamme mwenyewe akienda kutongozea mwanamke huwa mkali kama simba, imagine ukatongozee pesa yake? Hakika anakuchinja usingizini.
Lazima uwajibike kwa hili.

5. Una malengo? Una dira? Una dhamira?
Mwanamke kuolewa na mwanamme asiye na pesa si tatizo sana kama mwanamme huyo ana akili za kujituma. Unaweza kumpa hata mtaji au kitu chochote kama ni mtu ana mwamko ila alikuwa kashindwa pa kutokea akafanikiwa.
Wanamme wengine mizigo, kula kulala, kama akitafutiwa hata kibanda cha nyanya basi miaka 20 atakuwa hapo hapo.

Jipime kifua chako, injini ya sam trela haiwekwi na shock up za corolla.
 
mwaya usisikilize wale wanaume wenye ego wanaoona wanawake ni kiumbe dhaifu hivyo kutawaliwa daima,wakiona mwanamke ana 'power' amejikomboa kielimu na kimaisha wanakuwa threatened......ukiwachunguza wengi mama zao walikuwa 'mama wa nyumbani' na baba zao kuwa wakali wa kila kitu hivyo baba kuogopwa nyumbani.....hii imewajenga na wao kuwa na mtizamo tofauti maishani kuhusu wanawake,WEWE KAMA HUYO DADA ANAKUHESHIMU ANAJALI HISIA ZAKO NA ANAKUONYESHA MAPENZI funga naye ndoa ule raha,kuna wanawake kibao hawajasoma na wana viburi vya kufa mtu!!!!.....usiogope sana future,we live for today for tomorow might never come....kama uko happy nae kwa kipindi hiki wewe jali hilo tu,kesho unaweza kufa...........lastly ukiwa naye jiamini na muamini yeye,usiwe insecure kwa vile kakuzidi utaenjoy maisha ukizingatia haya.....
 
muhimu ukishakufanikiwa kazi,jiendeleze kielimu.wapo ambao huwa jeuri,na wapo wengine,elimu yao huiweka pembeni,wakawa na heshima katika ndoa zao
 
what u need to do now is better urself,jitahidi umzidi kielimu hata kipato pia,time is still on ur side,ili hizo hisia za kuwa chini zipotee.
 
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?

Yote hayana matatizo lakini haya ya kumtegemea naona ujihadhari isije ikawa Blackmail.
 
mwanaume ni mwanaume hata demu akuzidi vp usiogope.cha muhimu toka mwanzo mwoneshe we ndo kichwa,ukiingia kwa gia ya kunyenyekea ovyo bila msingi lazima akupande kichwani....
 
mwaya usisikilize wale wanaume wenye ego wanaoona wanawake ni kiumbe dhaifu hivyo kutawaliwa daima,wakiona mwanamke ana 'power' amejikomboa kielimu na kimaisha wanakuwa threatened......ukiwachunguza wengi mama zao walikuwa 'mama wa nyumbani' na baba zao kuwa wakali wa kila kitu hivyo baba kuogopwa nyumbani.....hii imewajenga na wao kuwa na mtizamo tofauti maishani kuhusu wanawake,WEWE KAMA HUYO DADA ANAKUHESHIMU ANAJALI HISIA ZAKO NA ANAKUONYESHA MAPENZI funga naye ndoa ule raha,kuna wanawake kibao hawajasoma na wana viburi vya kufa mtu!!!!.....usiogope sana future,we live for today for tomorow might never come....kama uko happy nae kwa kipindi hiki wewe jali hilo tu,kesho unaweza kufa...........lastly ukiwa naye jiamini na muamini yeye,usiwe insecure kwa vile kakuzidi utaenjoy maisha ukizingatia haya.....

Heri wanaume tumeumbwa kuwatunza ninyi. Ila ninyi Mkipewa jukumu hilo ni Dharau,Kelele,Umbea mwingi. Mara umemweka kwenye CHUPA, Mara kwenye KIGANJA. Yaani ili mradi mjulikane hamjui Kulea mwanaume kama Sisi tufanyavyo.

Ubeijing unawauwa ninyi sema Hamjui. Na wanao waambia Haki za Wanawake unakuta Wengi wao hawana Waume au Walitendwa na Wanaume kwa hiyo wanapachika Chuki kwa wanawake kwa Njia ya HAKI SAWA, Kama hamjui hilo.

hakuna Mwanamke Mzuri kama Yule ambaye huyapuuzia Mambo haya ya Haki Sawa. Wanajua jinsi ya Kuishi Na Mwanaume. Mwanaume hutamkuta anaenda mbali na mkewe kila sa anapenda kumwona, Mwanaume hutamkuta ananyumba ndogo, Mwanaume anapenda kula chakula cha mkewe.

Mwanamke wa Beijing atataka Mwanaume naye Apike... Hata kama hana kazi na wala hajachoka ila Amejisikia tu.
 
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?

Well, if u're prepared to stuck where u're, then think twice ingawaje nitakushangaa kama hayo ndo matarajio yako kubaki na hako ka-diploma kako na social status uliyonayo hivi sasa! Kiukweli, ingawaje ni ukweli wenye kuaibisha kuutoa hadharani ktk ulimwengu wa kisasa; mwanamke akikuzidi kwa kila ki2 basi expect for worse unless awe exceptional wife!!! Na hata asipokuwa na matatizo kwako, u're own inferiority complex itakuwa inakunyima raha! u knw wht i mean? Hata yule mwanamke uliyemzidi kwa kila kitu, anaweza kukuambia "kwenda zako kule, ktk wanaume nawe unajihesabu mwanaume!" Akikuambia hivyo, utachukulia kawaida na kuona ni jeuri tu! Lakini kauli hiyo hiyo ikitamkwa na mwanamke aliyekuzidi kwa kila kitu, utaichukulia ni kauli ya dharau inayosababishwa na uwezo wake hata kama si hivyo! Hilo jambo la kujihisi unadharaulika kutokana na different social status ndilo litakalokufanya uione ndoa chungu!! All in all, kwa hiyo diploma uliyonayo, bila shaka utakuwa under 30, or even under 25...this means tht, u've great room to advance urself to the point tht u can no longer find urself inferior!
 
hapo utakuwa mume ***** !lakini kama ukiikubali hali hiyo maisha yenu yatakuwa marefu na matamu.
 
mpendwa,

wewe funganaye ndoa tu, tena muache uzinzi, fungeni haraka kama kweli mnapendana.

halafu timiza wajibu wako kama mwanaume, jiamini na ishi kama mwanaume anavyopaswa kuishi na familia yake anayoipenda na kuiheshimu. na yeye mpe uhuru na nafasi ya kuishi kama mwanamke anayeipenda familia yake na kuiheshimu. mengine ni majaliwa tu, usiogope maneno ya hao wanaokutisha.

ubarikiwe sana

Glory to God!
 
wanawake jeuri ni wale wenye shepu na sura zinazogombaniwa
mwanamke hata asome vipi na awe na pesa vipi
akipata 'mwanaume sahihi' hutulia na kuwa na heshima...

now je wewe ni mwanaume sahihi??????
 
Heri wanaume tumeumbwa kuwatunza ninyi. Ila ninyi Mkipewa jukumu hilo ni Dharau,Kelele,Umbea mwingi. Mara umemweka kwenye CHUPA, Mara kwenye KIGANJA. Yaani ili mradi mjulikane hamjui Kulea mwanaume kama Sisi tufanyavyo.

Ubeijing unawauwa ninyi sema Hamjui. Na wanao waambia Haki za Wanawake unakuta Wengi wao hawana Waume au Walitendwa na Wanaume kwa hiyo wanapachika Chuki kwa wanawake kwa Njia ya HAKI SAWA, Kama hamjui hilo.

hakuna Mwanamke Mzuri kama Yule ambaye huyapuuzia Mambo haya ya Haki Sawa. Wanajua jinsi ya Kuishi Na Mwanaume. Mwanaume hutamkuta anaenda mbali na mkewe kila sa anapenda kumwona, Mwanaume hutamkuta ananyumba ndogo, Mwanaume anapenda kula chakula cha mkewe.

Mwanamke wa Beijing atataka Mwanaume naye Apike... Hata kama hana kazi na wala hajachoka ila Amejisikia tu.

uoga wako wa wanawake wasomi na wenye kipato cha juu usiupakaze kwa mwenzio,mwanamke 'beijing' as you put it sio lazima awe msomi na mwenye kipato cha juu,wapo wanawake wengi hawajasoma na wanapelekesha wanaume wao sijui utasemaje kuhusu hili......?

kwa hio wewe shida yako mwanaume asipike??? kwani umemuoa punda akufanyie kazi za nyumbani?kuna ubaya gani mwanaume akipika?au mnataka msaidiwe kipato tu na msisaidie kazi za nyumbani.......?maisha ni kusaidiana babu wee iwe kipato iwe kazi za nyumbani,kama unampenda mkeo utajali hisia zake sio lazima kila siku apike.....!
 
Back
Top Bottom