Huyu binti ananipaka nuksi, naonekana nipo naye kumbe sipo naye

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Habari ndugu zangu.

Ni kweli wanawake wanazingua mno na wakati mwingine wanaturudisha nyuma kiuchumi ila kwa sisi marijali huwezi kuwakwepa ni lazima tuu utajikuta unafungamana nao.

Huyu binti nakutana nae sana katika mazingira yangu ya kazi huku na yeye akielekea ofisini kwake, katika harakati zangu kama mwanaume nilimchunguza sana kimnya kimnya nikakusanya data vizuri na kuzichambua nikaona ananifaa akiwa mke wangu, pole pole nikatengeneza mazingira kiutaniutani na baadae kabla hajanizoea sana ili kuepuka kuwekwa kwenye friend zone nilijitahidi kutoroka toroka job kutafuta chance ya kumtoa out maana off duty zangu na yeye zinapishana kinoma nikaona ni risk job kwa akili japo ni hatari sana.

Nilipata chance na kuamua kumchana ukweli kuwa na muhitaji na mambo kadhaa kidogo tulizungumza ila yeye hakujibu chochote zaidi ya kuonyesha tabasamu tuu huku akiguna, basi tukala na kunywa nikamueskort mpaka kwao maana bado yupo kwa wazazi wake .

Zilipita siku tano nikamrudia kwa simu na kumtaka anipefeedback ya niliyomweleza akajibu hana jibu. Baadae tena nikampa tano zingine nikamuuliza akanijibu anamtu ila hajaolewa nikaona isiwe kesi na asione na force nika mute. Zikapita siku kadhaa akanitafuta yeye na wala sikugusia ni story zingine fupi nikamute tena. maana wanaume tunajua ukianza mbembeleza mwanamke na kumuonyesha uhitaji sana atakutesa na hakika utateseka mno kihisia

Baada ya mwezi na nusu nikaja mkumbusha ila alinambia hayupo teyari nika mjibu tuu SAWA. ila akinipigia simu tunaongea kawaida ila mimi nikipiga hapokei ananikatia simu. wakati mwingine nikiwa around na muona najaribu kuipiga simu yake anatoa anaangalia anakata sometime hapokei

Kwanini nimekuja kwenu.. ananifanyia vimbwanga kwenye simu ila akikutana na mimi ana nishobokea sana na mimi sitaki unafiki wake, nimekwepa shobo zake mara kadhaa ila hasikii. Japo na mtolea nje sana maana haiwezekani simu zangu akate nikipiga alafu kwenye kadamnasi ajifanye yuko poa.

Sitaki mazoea yake na nataka ajue mimi ni mwanaume na sipendi unafiki. Nimeonyesha kwa vitendo kwamba sitaki na sipendezwi na unafiki wake ila anajifanya haelewi. Nafikiria nimchane live mbele za stafu wenzake maana ananizibia riziki za kupata mademu wengine walio karibu nae maana nikiwagusia marafiki zake wananiita shemu. Sasa ananipaka nuksi huyu.

Wakuu hebu njoeni mseme chochote hapa.
 
Wewe ndo tatizo, hujui mbinu za kumvua mwanamke chupi.
 
Mwanamke akishakwambia ana mtu wake usiendelee kumtongoza tena ukiendelea ni sawa na kuonyesha umejitoa thamani yako yote na yeye ndo kitu cha muhimu zaidi kwako kinachofata jiandae kupelekeshwa kama hivyo kukatiwa katiwa simu ukiuliza sababu atakwambia si nlikwambia nina mtu na unajua

Kwahiyo kausha na uache kumsumbua siku akikukumbuka kukusalimia basi salimiana nae na uendelee kuwa kimya
 
Ndiyo ninachofanya kumute akipiga na pokea tunaongea ila mimi nikipiga anakata. Kingine nimejaribu kutongoza staff wenzake ambao ni marafiki wanaruka wananiita shemeji.. wanajua kabisa na date nae kitu ambacho sicho kabisa na sijui atakua kawaambia tunadate au kawaambia nini ili hali huku hanitaki.
 
Habari ndugu zangu.

Ni kweli wanawake wanazingua mno na wakati mwingine wanaturudisha nyuma kiuchumi ila kwa sisi marijali huwezi kuwakwepa ni lazima tuu utajikuta unafungamana nao.

Huyu binti nakutana nae sana katika mazingira yangu ya kazi huku na yeye akielekea ofisini kwake, katika harakati zangu kama mwanaume nilimchunguza sana kimnya kimnya nikakusanya data vizuri na kuzichambua nikaona ananifaa akiwa mke wangu, pole pole nikatengeneza mazingira kiutaniutani na baadae kabla hajanizoea sana ili kuepuka kuwekwa kwenye friend zone nilijitahidi kutoroka toroka job kutafuta chance ya kumtoa out maana off duty zangu na yeye zinapishana kinoma nikaona ni risk job kwa akili japo ni hatari sana.

Nilipata chance na kuamua kumchana ukweli kuwa na muhitaji na mambo kadhaa kidogo tulizungumza ila yeye hakujibu chochote zaidi ya kuonyesha tabasamu tuu huku akiguna, basi tukala na kunywa nikamueskort mpaka kwao maana bado yupo kwa wazazi wake .

Zilipita siku tano nikamrudia kwa simu na kumtaka anipefeedback ya niliyomweleza akajibu hana jibu. Baadae tena nikampa tano zingine nikamuuliza akanijibu anamtu ila hajaolewa nikaona isiwe kesi na asione na force nika mute. Zikapita siku kadhaa akanitafuta yeye na wala sikugusia ni story zingine fupi nikamute tena. maana wanaume tunajua ukianza mbembeleza mwanamke na kumuonyesha uhitaji sana atakutesa na hakika utateseka mno kihisia

Baada ya mwezi na nusu nikaja mkumbusha ila alinambia hayupo teyari nika mjibu tuu SAWA. ila akinipigia simu tunaongea kawaida ila mimi nikipiga hapokei ananikatia simu. wakati mwingine nikiwa around na muona najaribu kuipiga simu yake anatoa anaangalia anakata sometime hapokei

Kwanini nimekuja kwenu.. ananifanyia vimbwanga kwenye simu ila akikutana na mimi ana nishobokea sana na mimi sitaki unafiki wake, nimekwepa shobo zake mara kadhaa ila hasikii. Japo na mtolea nje sana maana haiwezekani simu zangu akate nikipiga alafu kwenye kadamnasi ajifanye yuko poa.

Sitaki mazoea yake na nataka ajue mimi ni mwanaume na sipendi unafiki. Nimeonyesha kwa vitendo kwamba sitaki na sipendezwi na unafiki wake ila anajifanya haelewi. Nafikiria nimchane live mbele za stafu wenzake maana ananizibia riziki za kupata mademu wengine walio karibu nae maana nikiwagusia marafiki zake wananiita shemu. Sasa ananipaka nuksi huyu.

Wakuu hebu njoeni mseme chochote hapa.
Kwahiyo wanawake ni yeye na rafiki zake basi?
 
Ndiyo ninachofanya kumute akipiga na pokea tunaongea ila mimi nikipiga anakata. Kingine nimejaribu kutongoza staff wenzake ambao ni marafiki wanaruka wananiita shemeji.. wanajua kabisa na date nae kitu ambacho sicho kabisa na sijui atakua kawaambia tunadate au kawaambia nini ili hali huku hanitaki.
Acha kumpigia simu na hao staff uliowatongoza wakakataa achanana nao Soma alama za nyakati wanakuchora wakikukataa wanasimuliana kutongoza tongoza hovyo unaonekana mtu usie na maana hutakubaliwa na yeyote nenda katongoze mbali kuanzisha mahusiano na mtu unaefanya nae kazi ofisi moja unajitafutia stress
 
Sawa mkuu, shukran.

Vipi wakileta shobo nile buyu kama hatujuani au niendelee kuongea nao kawaida .?
 
Back
Top Bottom