Binti kanizidi kiiiila kitu

Kwan wewe unataka kumtegemea milele?cha mcngi kama wewe unampenda tafuta vya kwako ili na wewe umzidi,kama ni fedha fanya kazi kwa bidii uzipate,kama ni elimu hua haina mwisho ukitaka soma mpk uchoke ili nawe umzidi,simple and clear
 
My God! Uko sayari ya ngapi? Akikuchoka na anajeuri ya fedha unaweza kuomba utangulie mbele za Mungu. Jitahid usimame mwenyewe bila kumtegemea, hapo mtadumu.

Great thinker!!ni kweli huyo jamaa ajitahidi tu apambane sana ajiimarishe yeye kama yeye! SIO SIRI wanawake wa namna hiyo wengi wao huwa balaa baadae,kwa namna ninavyofahamu sisi jinsia mbili;wanaume huwa tunaweza kuishi na hawa wenzetu hata kukiwa na tofauti gani lakini sio wanawake yaani ni 2 katika 10, wengi wao baada ya kuishi kwa muda mrefu kwenye uhusiano wa utofauti wa namna hiyo huwa wanabadilika mpaka utashangaa!!AKILI KUMKICHWA HAPO!!
 
uoga wako wa wanawake wasomi na wenye kipato cha juu usiupakaze kwa mwenzio,mwanamke 'beijing' as you put it sio lazima awe msomi na mwenye kipato cha juu,wapo wanawake wengi hawajasoma na wanapelekesha wanaume wao sijui utasemaje kuhusu hili......?

kwa hio wewe shida yako mwanaume asipike??? kwani umemuoa punda akufanyie kazi za nyumbani?kuna ubaya gani mwanaume akipika?au mnataka msaidiwe kipato tu na msisaidie kazi za nyumbani.......?maisha ni kusaidiana babu wee iwe kipato iwe kazi za nyumbani,kama unampenda mkeo utajali hisia zake sio lazima kila siku apike.....!

Wale wale lakini.
Nadhani hujasoma nilichoandika Vizuri.

Kwahiyo na wewe ungependa mwanaume ambaye atakutegemea ili uwe unamwambia akupikie

Mambo kama haya yanatokea na hakuna Ndoa inayodumu kama Mwanamke aki Dominate
 
mbona mmekrem jaman? kwan lazma mwanamke akiwa na pesa au elimu kumzid mumewe ataonyesha dharau?co kweli kuna wengine hawana tabia hizo so msimjudge m2 bila kumfaham kwa undani! Kwan mbona kuna baadh ya wanaume huwanyanyasa wake zao kisa wana pesa?hao hamjawaona?
 
Kwa nini uichukulie kama permanent situation? Wewe piga kazi na unaweza kumzidi pia. Yaani hata ukitafuta uliyemzidi anaweza akafanya bidii akakuzidi mkiwa kwenye ndoa. Au ndio utakuwa unamkataza kujiendeleza au kusoma zaidi? Mambo ya kawaida. Kama unampenda go for it.

kazidiwa na urefu pia,sijui hapo utamsaidiaje.
 
nilishasikia kuwa wewe huwa unakula sana na hilo anakuzidi pia? , na ulikuwa na manyonya sana nayo pia kakzidi.....!

anakutumia tu but kizuri anakulipa vya maana kukutunza na kukutafutia kazi nzuri ni jambo zuri but isije akawa anakuzuga tu na wewe pia changamka utafute kazi wewe mwenyewe baadae vijimaneno visije tokea mbeleni...ila acheni uzinifu fungeni ndoa kwanza
 
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?

mkuu!!
Women will just remain to be who/what they are!!. Sawa sio kwamba ni watu wabaya na men ni wazuri, no!!
But, at last yatatokea tuu!!, ''just by experience
ushauri wa bure! Get off that mahusiano!!
Otherwise kuta una enjoy, but get prepared!
 
Tumia hiyo nafasi vizuri. Staili zote maliza kwake.Uchafu wote wa kwenye internet mkuu. Tena uwe na spidi ya jet. Ila sio wa kuoa maana Siku moja utaambiwa u Mwanaume Suruali.
 
ndo pakutokea hapo tanguliza mguu mmoja ukiweka yote kuna hatari ya kuangukia pua.
 
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?

Upendo wa kweli sidhani kama unaangalia vyote hivyo. Kuna dada mmoja mi namfahamu ni msomi na boss ofisini lakini mumewe ni mlinzi lakini wanaishi poa sana na hatujawahi kusikia migogoro ya aina yeyote ndani ya ndoa.

Kikubwa ni upendo na kila mtu kuikubali hali aliyenayo mwenzi wake.
 
Sioni kama kuna shida saaana! Ili mradi mnaelewana.. Na Muhimu ni kumtanguliza MUNGU katika mahusiano yenu... Mambo mengine yatafuata baadae....
 
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?

Anaweza kuwa kakuzidi kila kitu, ila wewe umemzidi kimoja tena muhimu kuliko vyote "Uanamume"
So, itategemea how utaanza kumuhandle mwanzoni. Ukimfanya ajue kuwa unafeel inferior mbele yake then it'll be that throughout your marriage life if mtaoana, So make her see despite all she has, You still have balls to stand On.
 
dah hii kali,ila kiukweli itakulazimu kuwa fundi sana panapo majukumu ya kiume hasa yale ya usiku.Yani umpe vitu ambavyo popote atakapoenda hatavipata dats the only thng itakayokupa heshima na mwenyewe atakupikia chakula,sio wewe hela huna,elimu kakuzidi,uwezo wa kufikiri uko chini na nyakati za husiku huna faida hapo lazma ukwame bro
 
Most gals wenye uwezo,i mean wanaoweza kujitegemea huwapenda wanaume ambao ni wakawaida sana.kama mmeshagundua.Na wanapenda kweli duuh.Chamuhimu unachoangalia kwake,je anakudharau?,anakutreat vipi?,Anapenda kuongelea ongelea kuhusu uwezo wake?au yuko simple tu?.Kama anakupa heshima yako,anadiriki kukutafutia kazi,anakupenda sana.acha uwoga.Golden chance never kam twice.
 
Wengi watakujibu hakuna tatizo(kweli kwa juujuu hakuna tatizo- Na tena pia mkiwa a lot good psychologically hakuna tatizo pia). Ila katika mabonde na milima ya maisha, those differences will be paying u guys a visit every now and then. Swali ni kwamba una uwezo wa kuvumilia pale mwenzio anapofanya kitu na ukawa na hisia 99.9999% kwamba kafanya hivyo kwa sababu ya kitu fulani alichokuzidi? what if kaingia majaribuni na kaexercise hiyo power kikweli? will u be able to still hold on to marriage? Chunguza ur inner working, una tolerance kiasi gani mkeo akifanya dharau kisa kakuzidi kitu? kwa sababu let me tell u-ukichukulia upendo kama hisia kuna muda hautokuwepo kabisa(its the ups and downs)...Tafakari chukua hatua,...

Ukishaona mwanamke kakuzidi basi kakuzidi... hakuna cha dharau bali atakuwa anatumia ziada yake kukushauri au kukueleza jambo.. kwa vile kakuzidi basi kidume utaona ni dharau.

Kuweni flexible mpate wake ...
 
Back
Top Bottom