Binamu ni nyama ya hamu?

Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course

Mbona una elekea na wewe pia mate yanakutoka? au ndio mambo ya binamu kinyama cha hamu lol! chamsingi nikuachana na fikra hizo sababu ukiweza kumvua nguo huyo ujue kila binamu atakae jisogeza kwako kazi itakua ndio hiyo na vile vile heshima itapungua,heshimu ndoa yako huyo binamu muonyeshe kua huna mda na yeye na unampenda sana mkeo atakuharibia nyumba...
 
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course

Anakupenda sana kwa sababu ni mfadhili wake, mkeo ana wasi wasi gani? Ameshakutamkia anakupenda kimapenzi au wewe ndiyo unawaza hayo mambo? Wanawake wengine lazima tuwe waelewa jamani kha!
 
Wewe unamatatizo sana, na unamawazo machafu sana kichwani mwako. Binti anakupenda siyo kwa sababu anahitaji muwe wapenzi ila anajisikia vizuri just bcoz you take care of her. Wanawake mara nyingi ndivyo walivyo, kama wanapata mtu wa kuchat naye vizuri anaye sikiliza anaye tabua uwepo wao wanapenda sana. Kwa hiyo just love her kama mwanao, isipo kuwa jua mipaka yake na ondoa mawazo yako ya kingono.

Mpende mkeo kuliko huyo binti maana utazushiwa yasiyo semwa hata hapa JF.

Naamini nimekusaidia.

Unless kama amekutamkia hayo utuambie hapa jamvini,otherwise its just a love!
 
Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa
Sipendi kesi ni kama itanipotezea muda.
Nipeni ushauri nifanye nini?

Naweka jamvini
 
Mbona hueleweki ? Mara binam yako anakupenda mara unachafuliwa kwa matusi , tukueleweje ?
 
Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa
Sipendi kesi ni kama itanipotezea muda.
Nipeni ushauri nifanye nini?

Naweka jamvini
Hebu jitahidi kufaham kichwa cha habari na habari yako ulioandika. Hueleweki.
 
wewe mahakamani utafungwa kwani hata vichwa vya habari umevichanganya. ni PM izo no za binamu au binti nimpe ushauri nasaha
 
Back
Top Bottom