Akina dada heshima ni kitu cha bure!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,215
56,855
Kwa nilivyokereka hakuna salamu hapa!

Baada ya kumfatilia kwa wiki kadhaa akaingia line, toto fulani hivi nyeupe ndefu yenye kiuno nyigu, tunasema figure ya kimataifa. Figure ambayo hata tozo unalipia na chenchi inabaki! Anamidomo yakuumana,shingo yenye vimistari vya utamu utamu, kifuani pametuna kwa wastani lakini utamu wake wa chuchu nyuki wanaona wivu.

Ikawa Jumamosi, ikawa Jumapili nikampanga mtoto aje magheto bila pingamizi mtoto akatimba mida fulani hivi jioni ya chombezo. Hapo komamanga nina ugwadu ama kipururu kimejaa nusu diaba. Mziki fulani hivi wa rege mtaratibu ulikuwa ukikonga nyoyo zetu, hapo mezani kuna white wine baridi kitu cha "Footprint" huku jambazi mwenyewe nikiwa na ka Jameson nashushia taratibu.

Baada ya stori mbili tatu nikamsogeza mtoto hapo tupo sofani, kwanza nikaanza na busu moja zito mpaka nikamuona kama anataka kukata roho iende kwa baba! Alikuwa amevalia ile inaitwa "Binamu nyama ya hamu," nami bila nidhamu nikamvua kama simfahamu.

Mashambulizi kadhaa yaliponoga pale sofani nikaona huu ndio ule muda wa kutoa timu uwanja wa mazoezini na kuhamishia timu mechini. Punde tukawa kitandani mtoto machoni kalegea kama vile anaangalia giza, mshenzi wa tabia nikapima oil nikakuta mafuriko ya mto ruaha.

Mti mkavu nae akawa anataka udenda kama mamba alieona nyumbu mwenye umbo namba nane. Game likaanza kuchezwa kipa na mshambuliaji wote walionyesha uimara wao, penye kubinuka kipa alibinuka na penye kupiga cross nzuri striker hakukosea goli.

Sasa tabu ilianza hapa, binafsi mie katika hii michezo huwa napenda kuongea pale game linapokolea. Nakuwa nauliza maswali fulani hivi yakuhamasisha mchezo. Komamanga la watu nikaanza, kwanza nikamuita in a very very romantic way, "Baby?"

Hakuitika akawa anagugumia tu kwa utamu. Nikatulia kama sekunde 30 nikipeleka moto nikarudia tena
"Baby?" Mara hii akatoa mguno kama anataka kuitika ila utamu kolea ukamzidia, nami nikaongeza spidi.
Mara ya tatu nikamuita tena "Baby?" Hapo akaitika kwa sauti ya huba iliyojaa vibaba. Sasa hivyo mimi ndo napenda🥰nilijihisi kama nipo mbingu ya thelathini na kenda huko.

Nikamuhoji tena "Baby tamu?" Hakujibu nikahoji tena "Mchumba tamu?" Huku akitoa sauti ya malaika akajibu "yeaaaaah baby!" Hapo nikakoleza moto mpaka nikawa nafumba macho naona utamu unavyokujakuja.

Nikatulia nikipeleka moto akawa hajiwezi ndipo nikaongeza swali jengine la kichokozi huku nikimslap kwa nyuma! "Mchumba mi nani yako?" Alipotaka kujibu akajikuta anashindwa badala yake akafanya tu
"Shhhhhhhhhh..!!" Nikajua mtoto sasa kwishneh. Ikapita dk. moja nikamuuliza "Mchuchu mi nani yako?" Akatulia kidogo then akatoa maneno ambayo hayakuwa na mwisho, "Cccchhh....!"

Nikaona isiwe tabu nikampunguzia moto kidogo ili ajibu walau, "Lovie mi nani yako?" Niliuliza hivyo huku nami nikiwa sijiwezi majeshi yote yakiwa mbioni kukimbia kambi. Akatulia kama sekunde tano hivi kisha akafumbua macho yake legevu nakuyafumba tena, huku akiyavuta maneno akajibu, "Chawa baby!"

Nikajifanya kama sijasikia nikaguna ule mguno wa kuuliza nae akarudia "Chawa wangu!" Stimu zote zilinikata ile hamu ikageuka kuwa haram! Ikabidi nishuke na kitandani nae kwa unafiki akaanza niuliza mbona umeshuka? Hata sikumjibu nikatulia kama dakika tano then nikashika simu yake nikakuta kasevu line yangu ya voda "Chawa one" Halotel "Chawa two."

Hasira za mkizi zilinipanda kama fisi aliekoswa na mshale wa nzengo! Vivazi nilivyomvua alijivalisha mwenyewe, ile Jameson niliyokuwa nimekunywa kwaajili ya mahaba ikageuka kuwa matusi juu yake. Ule uongeaji wa kiromantic ukanitoka nilifoka mpaka majirani wakajua pisi niliyoileta imeniita mimi chawa! Ule mwendo aliokujanao sio aliondokanao!

Nilijiuliza sana mpaka nikaenda kukaa mbele ya kioo niuone huo uchawa uko wapi, lakini sikuona! Sasa yeye aliutolea wapi?

Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu! Nyie wadada heshima ni kitu cha bure, kwa hasira huu mwezi wote sili mbususu nafunga mpaka niuone huo uchawa wangu uko wapi.
 
Wewe ndiye una kiherehere. Wewe si upige moto mpaka aanze kuongea yote mwenyewe? Ndiyo, wewe ni chawa. Kwani hiyo papuchi iligeuka kuwa ya mende?

Mtu umemuita mara tatu na haonekani kukuitikia,bado unalazimisha. Eti baby,

Unapenda kudanganywa? Nenda katafute kahaba aliyekubuhu, dole tu anapiga ukelele Dar na mlandizi. Umuulize wewe nani? Atakuambia wewe mungu wake. Ili ufurahi

Msiwe mnalazimisha. Wengine kuwauliza maswali ya kipuuzi yanawakata stimu pia. Msome mtu, ukiona ana muelekeo basi nenda naye huo muelekeo.

Kwanza kupata muda wa kuuliza maswali ni kuonyesha gemu hujalimudu sawasawa. Punguzeni kuangalia porn.
 
Wewe ndiye una kiherehere. Wewe si upige moto mpaka aanze kuongea yote mwenyewe? Ndiyo, wewe ni chawa. Kwani hiyo papuchi iligeuka kuwa ya mende?

Mtu umemuita mara tatu na haonekani kukuitikia,bado unalazimisha. Eti baby,

Unapenda kudanganywa? Nenda katafute kahaba aliyekubuhu, dole tu anapiga ukelele Dar na mlandizi. Umuulize wewe nani? Atakuambia wewe mungu wake. Ili ufurahi

Msiwe mnalazimisha. Wengine kuwauliza maswali ya kipuuzi yanawakata stimu pia. Msome mtu, ukiona ana muelekeo basi nenda naye huo muelekeo.

Kwanza kupata muda wa kuuliza maswali ni kuonyesha gemu hujalimudu sawasawa. Punguzeni kuangalia porn.
Uzi ufungwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom