FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,134
- 109,575
Siri zake mbona zipo wazi kabisa?Kila utajiri una siri yake.
Siri zake mbona zipo wazi kabisa?Kila utajiri una siri yake.
Qur'an imeweka wazi kabisa kwa mwenye kuelewa. Anza:Hamna tajiri ana expose siri zake. Wewe ulikuwa unamuona tu huko Kariakoo, lakini ya ndani mwake huyajui
Nenda ofisini kwake mbona anapokea watu akiwepo, lakini sasa hivi utakutana na wasaidizi wake. Yeye hayupo.Foxy rafiki yangu naomba nikonekti na baresa Nina business proposal nataka kumshirikisha🙏
Huwezi kufahamu, anayejua ni yeye (Leo ungetolea mfano bilionea wa Tanzania ungeweza kufahamu Siri ya kufika pale?)Mfalme Suleiman alifanya umafia gani kuwa tajiri?
Acha kupotosha umma 👌
Siri ya kwanza katazame post #22 na ukiielewa hiyo ntaendelea na zingine. Kidogo kidogo.Huwezi kufahamu, anayejua ni yeye (Leo ungetolea mfano bilionea wa Tanzania ungeweza kufahamu Siri ya kufika pale?)
Wapi?Siri zake mbona zipo wazi kabisa?
Ukizitumia wewe unatoboa? Kawe shoe shiner halafu ghafla uwe trillioneaSiri zake mbona zipo wazi kabisa?
Qur'an imeweka wazi kabisa kwa mwenye kuelewa. Anza:
Qur'an 2:261. Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua. 261
Piga hesabu ya hiyo aya kama utaimaliza. Hiyo njia ya mkato ya kupata utajiri usio na mfano.
HahahaahaTajiri kaongea. Hilo ndio neno la hekima
Fafanua.Qur'an imeweka wazi kabisa kwa mwenye kuelewa. Anza:
Qur'an 2:261. Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua. 261
Piga hesabu ya hiyo aya kama utaimaliza. Hiyo njia ya mkato ya kupata utajiri usio na mfano.
Nenda posta freemasonNipe location nataka utajiri kwa kupitia uchawi
mafia ni mapedeshee wote au matajiri woteNini maana ya "umafia"?
Alikuwa illuminati huyoMfalme Suleiman alifanya umafia gani kuwa tajiri?
Acha kupotosha umma 👌
Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
😝😝😝😝😝HatariMjumuiko wa tabia zote mbaya ndani ya sura yenye tabasamu na suti ya vipande vitatu.
Kanisani viti vya mbele, high table na waheshimiwa kwenye dhifa za kitaifa