kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,566
- 1,720
Eleza in details Mkuu why 1m?mkuu hii biashara ongea tu kwa kua huijui kwa zamani ata ungeanza na terabyte 1 unatoboa ila sasa mkuu bila kua na kuanzia terabyte 20 unafukuza upepo mtaji wake sio chini ya million 1 kma unataka uone pesa