Biashara ya Danguro..

Shida ni kwamba hakuna sheria inayotoa ruhusa kwa sex workers! Kwa hiyo sahau kutumia neno legal business.
Nakushauri ingia kwa pazia la escort business. Hiyo itatambulika kisheria lakini mambo yatakayokuwa yanaendelea ni kama hayo unayoyataka wewe.
mkuu m pesa ishu ni kwamba nitatangaza nafasi za kazi na wale watakaokuwa interested nikiridhika nao basi tutasaini mkataba ambao utampa haki zote kama waajiriwa wengine.. Ndiyo maana nataka kuifanya iwe legal bussines!
 
ndg yangu futa hayo mawazo ya kishetani ogopa dhambi ndg yng hayo ni mawazo ya kishetani kma utafungua huo mladi na laana iwe juu yako
 
mkuu m pesa ishu ni kwamba nitatangaza nafasi za kazi na wale watakaokuwa interested nikiridhika nao basi tutasaini mkataba ambao utampa haki zote kama waajiriwa wengine.. Ndiyo maana nataka kuifanya iwe legal bussines!
Naomba unijibu,utakuwa tayari kuajiri dada zako kama wanataka?
 
Lakin wadau kama mnafatilia!HII BIASHARA IPO!
Mnaikumbuka makala ya BBC?
Na serikal wala haija'respond,sasa hapa napata mashaka na fyombo fya DOLLAR
 
Ni mawazo mazuri ila dini,serekali na utamaduni wetu hatujafikia hapo labda mwaka 20000011 kama utakuwepo jaribu kuwekeza hako ka mtaji kako
 
sheria zetu haziruhusu...labda utoe mapendekezo iingie wenye katiba mpya

Kanuni ya adhabu inasema:
145. Male person living on earnings of prostitution or persistently soliciting
(1) A male person who–

(a) knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution; or
(b) in any public place persistently solicits or importunes for immoral purposes,
is guilty of an offence and in the case of a second or subsequent conviction under this section the court may, in addition to any term of imprisonment awarded, sentence the offender to corporal punishment.

(2) Where a male person is proved to live with or to be habitually in the company of a prostitute or is proved to have exercised control, direction or influence over the movements of a prostitute in such manner as to show that he is aiding, abetting or compelling her prostitution with any other person or generally, he shall unless he satisfies the court to the contrary be deemed to be knowingly living on the earnings of prostitution.

Kifungu 146 nacho kinasema:

146. Woman living on, or aiding, prostitution
A woman who knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution or who is proved to have, for the purpose of gain, exercised control, direction or influence over the movements of a prostitute in such a manner as to show that she is aiding, abetting or compelling her prostitution with any person, or generally, is guilty of an offence.

Kingine kinasema:

148. Brothels
Any person who keeps a house, room, set of rooms or place of any kind whatsoever for the purposes of prostitution is guilty of an offence.

Ukianzisha hiyo biashara na wakitaka kukupeleka mahakamani unafungua kesi ya kikatiba ukidai kuwa unayo haki ya kufanya kazi na hiyo ni kazi vilevile chini ya ibara ifuatayo:

22. Haki ya kufanya kazi
(1) Kila mtu anayo haki ya kufanya kazi.

Wakibisha zaidi unawapiga na kifungu kifuatacho cha katiba:

23. Haki ya kupata ujira wa haki

(1) Kila mtu, bila ya kuwapo ubaguzi wa aina yoyote, anayo haki ya kupata ujira unaolingana na kazi yake, na watu wote wanaofanya kazi kulingana na uwezo wao watapata malipo kulingana na kiasi na sifa za kazi wanayoifanya.
 
TANMO no where to be seen now!Hawakukosea walionena' mkuki kwa nguruwe mchungu'
 
Aiseee arifu .....hii business nikuambie ukweli utapata wa wateja japo kwa hapa kwetu ni biashara haramu....

Nakushauri jenga kanisa tafuta waumini.....chukua sample space ya Geo Dervie wa Arusha
 
Omba biashara ya kufungua migahawa ya kuuza bangi kama kule uholanzi nina hakika utapata dolari kibao kutoka kwa watasha pia wachezaji mpira ,wasanii wa bongo fleva ,masupa staa wa bongo filamu n.k,o ingine inakuwa sasa hiyo ingine itakuwa chachandu ,zote ziwe jengo moja
 
Kwa kweli wewe ni corrupt:kwa kutaka kuanzisha danguro pamoja na massage:kwa kutaka sio tu kuwacorrupt Watanzania ,lakini pia kutaka kuwacorrupt watu wa nchi nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom