Biashara ya Saluni za Kiume na Massage, Mtaji, Mbinu na changamoto zake

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,186
Habari wanajamvi

Kuna hii biashara ya Saluni za kiume na massage, nimejaribu kutafuta thread inayoelezea namna ya kuanza hii biashara na vifaa vinavyohitajika na wapi pa kuchukulia, wadada wazuri wa massage mikoa gani ni pendekezwa, sijaona popote

Basi naomba nichukue nafasi hii kupitia uzi huu kutaka kujua yafuatayo

• Mtaji kiasi gani wafaa kufungua biashara hii
• Vifaa vipi ni muhimu na vinahitajika na bei zake na wapi mahala sahihi pa kununua
• Mikoa gani ina wadada wazuri (mahususi kwa ajili ya massage)

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom