Kukuza biashara

brucella

Member
Mar 15, 2019
69
71
Habari Wana JF
Nina dogo langu ana biashara ya Mangi inatakribani miaka miwili na nusu.

Alianza mwaka 2021 July kwa mauzo hafifu sana lakini alijipa muda sana mwisho wa Siku Sasa hivi ana uwezo wa kuuza laki mbili kasoro kidogo daily. Sasa mwaka huu tulioanza Leo anataman angalau afike hata 2.5K- 300k daily.

Kaniomba ushauri Ili kuweza kufikia malengo yake aongeze nini Ili kuvutia wateja zaidi na kufikia Lengo lake.
Lakini pia anataman siku Moja awe na duka la jumla.

Je, kwa mwendo huo wa biashara hiyo atakuja kufikia malengo hayo ya jumla? Mimi nimemtia moyo nikamwambia inawezekana.

Wadau naomba michango yenu ya strategic ideas ili nimsaidie dogo langu maana najua humu Kuna wazoefu sana wa biashara hiyo. Yeye Sasa hivi ana 32 yrs,na kaamua kujiajiri ana bachelor ya community development.
Muwe na happy New year

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Aongeze gesi ,aongeze huduma za tigopesa, aongeze kuchajisha simu .
 
Back
Top Bottom