Kwa mtaji wa Tsh 5m naweza kufanya biashara gani Afrika Kusini?

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
534
1,746
Kama kichwa kisemavyo nataka kwenda south Africa MTAJI million tano nje ya nauli nauli nimetenga kama laki 800k msaada maelekezo nifikie mtaa upi na nifanye biashara gani.

Ambayo itanitoa nikifika kule je ni mitaaa gani Ambayo inawa bongo wenzangu wengi ili niwe na organize nao nikitoka kwenye biashara I mean wakati wa jioni ili niwe napata experience Zaidi kuliko nimetoka biasharani ni ndani tu hiyo nadhani haitanisaidia kuijua nchi ya Republic of south Africa.

Mtaaa upi nikifanya biashara itakuwa kwangu rahisi kutoka kimaisha ndio main issue kubwa wana jf nijuzwe hilo.

Kodi ya chumba ni sh ngapi itapendeza sana nikipata chumba cha bei rahisi hata kama ni uswazi.

Sijawahi Kabisa kufika south Africa Zaidi ya kuiona kwenye ramani tu.

Ninapotokea ni Mbeya

Nawasilisha
Screenshot_20240122-144100.jpg
 
Nawasilisha View attachment 2879557
Ndinga hiyo hapo Mkombe luxury Dar Johannesburg Rand 3000 au laki nne Tshillings unapandia hapohapo Mbeya.

Nakushauri Kwa nia njema Tu tafuta mishe nyingine za kufanya wenyewe hawataki wageni unaweza kurudi kwenye jeneza.
 
Attachments

  • IMG-20231223-WA0047.jpg
    IMG-20231223-WA0047.jpg
    73.3 KB · Views: 9
Back
Top Bottom