Bi Harusi.....

MUME; baada ya kuoa ikawa anamwambia BI~HARUSI mke wangu! Nina Mambo 2 ya Kufurahisha na Kuhuzunisha je nianze Kukwambia lipi?
MKE: Anza la Kufurahisha
MUME: Akamuonyesha Uume wake; "Akamwambia umeuona MUZIKI huu ni Inchi~9
MKE: Akafurahi ikamtoka WAOW! akalibusu kwenye kichwa Mwaaaaa.. Akasema~tena Haya~niambie la Kuhuzunisha
MUME; Dude lote hili lkn Halisimami;
MKE; Akapoteza Fahamu!

Boflo Boflo Boflo.
 
Mkuu kwani wanaoiba, wanaozini, wala rushwa, wachungaji wanaokula kondoo, wauaji na wengine kama hao hawaijui biblia vizuri?

Hata kama wanaijua...kuasi kwa mtu kusikufanye umsahau Mungu,kwani kila mtu atasimama peke yake mbele za Mungu kwa hukumu.
 
Hata kama wanaijua...kuasi kwa mtu kusikufanye umsahau Mungu,kwani kila mtu atasimama peke yake mbele za Mungu kwa hukumu.
Kwanza kabla sijaendelea hebu tuambie nani aliyefungisha ndoa ya Ibrahim na Sara?, Samson na Delila?, Joseph na Maria? na vyeti vyao vya ndoa vimetajwa wapi kwenye biblia.

Kwa kukusaidia nikwambie tu kwamba ndoa ya kweli ipo moyoni na Mungu anajua mwenzi wako toka ulipokuwa tumboni mwa mama yako, hivyo wawili mkikutana tu hata iwe njiani utaona tofauti fulani moyoni mwako, na hapo ndipo Adamu alipoamka toka usingizini na kujitangazia ndoa "Huyu ni ubavu wangu" mara baada ya kuona Hawa chagua lake. Nieleze walifunga ndoa ya kanisani lini mpaka wakazaa Abel na Kaini?

Ukikataa kutest injini basi kataa na ndoa zenu nyingi mnazofungisha makanisani siku hizi, manake vijana na mabinti tunaohudhuria ndoa zao wanajifungua kabla hata ya miezi 9 kupita tokea fungate.
 
Hata kama wanaijua...kuasi kwa mtu kusikufanye umsahau Mungu,kwani kila mtu atasimama peke yake mbele za Mungu kwa hukumu.
Usitake kujitetea hapa,mbona siku zote mnahimiza watu wasali kwa umoja wasijitenge na kusali peke yao kama unajua kila mtu na Mungu wake na kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe?
 
Hii ni hatari ya ndoa.
Ama kweli naunga mkono ule usemi wa SHAKE BEFORE USE IT .
 
hakukua na haja ya kuzimia, mafundi kibao wa kusimamisha mjini
 
Mmmmm kazi ip
o harusi imetumbukia njongo ndio ile kusema aaak mie mpaka tufunge pingu sasa itabidi atafute mdhamana kwa mchungaji aliyefungisha ndoa hio
 
mai weeee! nimecheka kweli, afu nimemwonesha bi harus aliyefunga ndoa mwenzi ulopita. duh kacheka kweli!
 
kama halisimami basi alisimike lol!
anashkilia kwa mikono yake analichomeka..
wala sizimii natafuta kuimprovize tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom