Bi Harusi.....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
[h=5]MUME; baada ya kuoa ikawa anamwambia BI~HARUSI mke wangu! Nina Mambo 2 ya Kufurahisha na Kuhuzunisha je nianze Kukwambia lipi?
MKE: Anza la Kufurahisha
MUME: Akamuonyesha Uume wake; "Akamwambia umeuona MUZIKI huu ni Inchi~9
MKE: Akafurahi ikamtoka WAOW! akalibusu kwenye kichwa Mwaaaaa.. Akasema~tena Haya~niambie la Kuhuzunisha
MUME; Dude lote hili lkn Halisimami;
MKE; Akapoteza Fahamu![/h]
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa Du lingesimama si lingeenda hadi nchi 15? bora liwe la kibisa hivyo hivyo asije akaua kizazi cha mkewe,ndio maana wanasema shake well before use yeye(m/ke) kakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Hahahahah duh 9" si utani aiseee
Hapo kwenye kusinzia ni noma aiseee naona lazima tuwe tunajaribu kabla kwani waweza oa mtu hana ndoa yenyewe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Boflo kwa hiyo unanialert mapema au!!?ahahahahhahhahhhaha una mambo we mtu.!mie hoi.
 
Last edited by a moderator:
MUME; baada ya kuoa ikawa anamwambia BI~HARUSI mke wangu! Nina Mambo 2 ya Kufurahisha na Kuhuzunisha je nianze Kukwambia lipi?
MKE: Anza la Kufurahisha
MUME: Akamuonyesha Uume wake; "Akamwambia umeuona MUZIKI huu ni Inchi~9
MKE: Akafurahi ikamtoka WAOW! akalibusu kwenye kichwa Mwaaaaa.. Akasema~tena Haya~niambie la Kuhuzunisha
MUME; Dude lote hili lkn Halisimami;
MKE; Akapoteza Fahamu!
Ndiyo akome, wakiambiwa maisha ya leo usinunue gari bila kutest jiko (injini) wanajifanya walokole, sasa limemkuta anajifanya kuzimia kwani akiamka atalikuta limesimama?
 
Tobaaa weee me lazma nlie hapo then ntafute safar ya kwetu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Kumbe na nyinyi mnapenda kuduu eeeh?

Hiyo hali ndiyo kipimo cha uvumilivu kwa mwenzi wako,badala ya kumtafutia tiba unakimbilia wapi sasa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom