Best wishes to all form 4 students

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Kama mnavyoenda kuanza mitihani yenu,muombe Mungu,kaa chini soma kwa makini maswali na kisha ujibu. Ukifanya vibaya mtihani mmoja,usikate tamaa kwa mitihani inayofuata. Acheni kufikiria mitihani kuvuja,someni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom