Best paying company in tanzania

Through my experience in auditing firms assigments in different companies kwenye mashirika ya uma tanapa, tanesco, has good rate in terms of salary but they pay through experience not education nilishangaa sana kukuta kuna watu wana certificates but wanafika hadi 3 m,

Tukitoa mashirika ya uma yaani overall paying companies zinazoongoza ni za oil and gas explorations na zinazifata ni za madini in terms of salaries, watu waliopo kwenye oil and gas industry ni balaa hadi auditors mnajiuliza mishahara yote ya kazi gani hii,

Kuna watu wanakula mkwanja mrefu kwenye haya makampuni mpaka unaogopa.
 
Jamani naomba mnisaidie nafanya research nataka kufahamu makampuni/mashirika ya uma kumi bora kwa ulipaji mzuri wa mishahara pamoja na marupurupu na faida za ziada kama matibabuna mengineye. Naomba mnisaidie kwa ambaye ana information hata ndigo itanisaidia katika research yangu

Tafuta survey za P3, GRS na labda PWC maana data zao ndio za uhakika. Mining mtu anaweza kusema eti mishahara ni mikubwa lkn siyo ukilinganisha the difficulty of the industry and options mtu anagive up kufanya kz katika mazingira yale. Na pia benefits zao sidhani ni superior kwa makampuni mengine.

Mimi ukiniuliza naweka telecommunications (maana wao ni all round - Vodacom and Airtel in this case) na TCC (JTI). Usiangalie on money only lkn Total Compensation.
 
si ndio maana mikasi imechukua nambari wani kwenye LOE ratiba ni kama ifuatayo
saa 12-3 asubuhi... kwenda kazini
saa 3-4 asubuhi... vibua na chapati, na gazeti la shigongo
saa 4-5... kwenda benki
saa sita hadi saa nane ... lunch (na kamkasi kwiki)
saa nane - saa tisa na nusu... chapa kazi ya kufa ntu
saa tisa na nusu - 12 jioni... kwenda home
saa 12 - 3 jioni... tubia tunne
after... XXXXXX

repeat that at least three times a week

duh...halafu mnalalamika mishahara haitoshi...
 
Ukisimama kwenye mashirika ya umma, mimi pia nafahamu sehemu kama TANESCO na TANAPA kwa kweli malipo yao yanaridhisha sana ndio maana hata watumishi wengi wakiingia pale huwa wanaridhika na kazi na elimu zao na sio kama walimu ambao nafuu yao ni kwenda kusoma hadi PhD ili labda mishahara iongezeke
 
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
Acha kuupotosha umma mkuu
 
Baada ya Mungu mzungu basi tuseme hivi dunia ya Mungu vitu vya mzungu kama hutaki acha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom