Best paying company in tanzania

luckitu

Member
Jun 28, 2009
10
2
Jamani naomba mnisaidie nafanya research nataka kufahamu makampuni/mashirika ya uma kumi bora kwa ulipaji mzuri wa mishahara pamoja na marupurupu na faida za ziada kama matibabuna mengineye. Naomba mnisaidie kwa ambaye ana information hata ndigo itanisaidia katika research yangu
 
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
 
Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya mambo unayochangia!

Unajua kweli unayoyaongea mkuu? Sidhani kama hiyo ndiyo mishahara ya hayo makampuni uliyoyataja. Nafikiri ni chini zaidi ya hapo.
 
Mkuu wakati unajibu hoja yake ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri akili yako ilikuwa timamu kweli? Usiniambie hayo uloyataja ndo mashirika ya umma. Hebu chunguza vizuri akili yako kama iko sawa mkuu.
 
barick, ggm si kweli hizo namba ulizoziweka, hamna kitu pale ni hela ya kawaida sanaaaaaaaaaa arnd 0.8-2m kwa graduate
 
Mkuu wakati unajibu hoja yake ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri akili yako ilikuwa timamu kweli? Usiniambie hayo uloyataja ndo mashirika ya umma. Hebu chunguza vizuri akili yako kama iko sawa mkuu.
inawezekana mimi sijaelewa, asante kwa kunielewesha, lakini naomba niambie, kwa kichwa cha habari cha mtoa mada, ukisikia mtu anasema '" BEST PAYING COMPANY" utaelewa kama amesema mashirika ya umma? mimi sikusoma alichoandika chini, hapa nina kazi zangu nyingi hivyo nilisoma tu kichwa cha habari. best paying company which includes private and public companies au government corporations. nafikiri wewe uelewa wako ndio kidogo unazingua. hebu jamani nisaidieni alichosahihisha huyu jamaa anayejiita mwenye akili.

kuhusu mishahara yao hao jamaa, actually yawezekana yapo makampuni yanayolipa zaidi ya hao, lakini kwa figure hiyo niliyoweka ni sahihi, nina uhakika nayo na hata hivi sana niko huko huko. asanteni.
 
Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya mambo unayochangia!
fafanua ili nieleweshwe. ukiandika kidogo tu hivyo wewe ndo utaeleweka hujaelewa kabisa kwasababu hujadadavua hata kidogo ambacho mimi nisiye mwelewa nimechangia.
 
Unajua kweli unayoyaongea mkuu? Sidhani kama hiyo ndiyo mishahara ya hayo makampuni uliyoyataja. Nafikiri ni chini zaidi ya hapo.
mkuu wewe ni mwalimu? nikweli wanalipa hivyo, ninyi si mmeridhika na malipo duni
 
Mkuu wakati unajibu hoja yake ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri akili yako ilikuwa timamu kweli? Usiniambie hayo uloyataja ndo mashirika ya umma. Hebu chunguza vizuri akili yako kama iko sawa mkuu.
uyu naye uelewa wake unamwonyesha kuwa, BEST PAYING COMPANY ni mashirika ya umma, kulingana na kichwa cha habari.
 
Through my experience in auditing firms assigments in different companies kwenye mashirika ya uma tanapa, tanesco, has good rate in terms of salary but they pay through experience not education nilishangaa sana kukuta kuna watu wana certificates but wanafika hadi 3 m,

Tukitoa mashirika ya uma yaani overall paying companies zinazoongoza ni za oil and gas explorations na zinazifata ni za madini in terms of salaries, watu waliopo kwenye oil and gas industry ni balaa hadi auditors mnajiuliza mishahara yote ya kazi gani hii,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom