Simple...it is difficult for them to retain people...the same mines, the same kind of jobs...kila siku wanataka watu. What for???!!!!
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
tafuta ajira serikalini
msharaha laki saba
posho milioni nne
safari wka siku (nje) dollar 600 na ndani 120,000
kodi less than 20%
it doesnt get any better
Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
mi cjui
sahihi vipi??yuko sahihi.
Inasemekana wabongo wakiajiriwa huko hawatulii, wanaingia tamaa na kujikuta wanaingia kwenye maskendo ya kupiga dili (licha ya kulipwa vizuri). Yaani hata kama ni kukwangua hadi ukoko, inapofika mahali wanataka kukwangua hadi WATOBOE SUFURIA, ndipo mwajiri anaamua kuwatimua ili kunusuru sufuria yake.
Hufanya ivo kwa imani anaowaleta huenda wataacha kukwangua ila bahati mbaya wengi huendelea na tabia kama za wenzao utafkiri baba yao ni mmoja. Afu wakirudi kijiweni, unakuta mtu karudi na mabati yanayotembea (gari) hana ata kiwanja; mwishoni wanaanza lawama la kijinga, o-serikali,-o ajira,....nk.
Ndio maana tunaona matangazo karibia kila mwezi
Kwa mnaopata izi kazi mna bahati sana maana HAMZIJUI TGSD hasa kama ndo mnatoka vyuoni, jifunzeni kutulia... maana mkifukuzwa, ni vigum sana kupata bahati kama hiyo...Hata America uionayo leo imejengwa kwa miaka zaidi ya 200... acheni kuharakia
hahaha, hapo ndo mpango mzima. Umesahau na hakuna kazi, kama ni stress ni ya kuwa idle.
jamani naomba mnisaidie nafanya research nataka kufahamu makampuni/mashirika ya uma kumi bora kwa ulipaji mzuri wa mishahara pamoja na marupurupu na faida za ziada kama matibabuna mengineye. Naomba mnisaidie kwa ambaye ana information hata ndigo itanisaidia katika research yangu
hii ofisini yenu inaitwaje mkuuHakuna shirika bongo linalolipa vizuri,wengi wafanyakazi ni wezi tu! Tuzungumzie level za graduates na si level za management na directors! Level za graduates makampuni mengi yanalipa kuanzia 250k-1300k,sasa 1300k kwa mwezi ni hela ndogo sana hiyo ni sawa na usd900,ambayo kwa mbeba box wa usa anaipata kwa siku nne tu! Watanzania wengi ni wezi hawafanyi kazi ipasavyo kati ya masaa nane ya siku anafanya kazi masaa mawili tu! Kwanza kazini anaingia saa tatu akifika anasoma magazeti mpaka saa nne kasoro,anaanza maandalizi ya chai na kwenda canteen anakula mpaka saa tano akifika anapiga story mpaka saa 6 then anachezea net mpaka saa 7 nusu saa anagusa gusa makarati saa saba na nusu anaenda kula mpaka saa tisa anaenda ofisin tena anacheza na net mpaka saa kumi kasoro then anaenda washroom saa kumi na dakika kumi na tano anapiga story mpaka na nusu anaondoka,hyo ndio ratiba ya wabongo kazini.